Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah bro.... Umeongea maneno mazito balaa. Ambaye hata kuelewa hapa then basi asubirie tu muda ufike kisha aje kukusoma tena.
 
Dah hili gumu sana kwa maisha ya leo, umejaribu kuzungumza na tabibu kuona kwanini hali hii inakupata! Unajua kuna kutopenda na kuna kutofurahia kitu! Can you make it clear hapo? Hupendi ama hufurahii? Do you have bad memories with it?
Swala sio kitandani tu. Mahusiano ni complexity ya mambo mengi sana ambayo ni mahitaji ya kibinadamu.
 
Una maana gani kusema hivi? Kwanini kusema/kuhisi kwamba ndoa nyingi hazina furaha,mzee wewe umeowa?
Binti huyo bado wakati haujafika..... Sasa hivi anaenda na story za kuambiwa muda wake haujafika..... Ngoja aingie danger zone ndio atajua kumbe za kuambiwa huwa zinachanganywa na zako mwenyewe.
 
Swala sio kitandani tu. Mahusiano ni complexity ya mambo mengi sana ambayo ni mahitaji ya kibinadamu.
Aisee ni mengi ila pamoja na yote kutiana ndio msingi! Kama hapo panakuwa na utata dunia itajazwa vipi sasa?
 
Muongo bwana huyu. Sio kweli hapo anataka tu kuprove point ila hana kitu kama hicho. Akinisikiaga tu sauti yangu analoa....
 
Labda kwako na familia umetokea ila ndoa sio wazo la kibinadamu bali ni asili ya mwanadamu na automatically inakuwa ni lazima.

Ni sawa na mtu akwambie me Sihitaji chakula ili ni ishi, nakula tu matunda pori na kunywa maziwa. Sasa unakataa nini na unafanya nini?!

Wewe huwezi nambia haupigwi/haupigi mashine. Huwezi nambie hakuna muda unakuwa mweke na unahitaji company ya jinsia ya tofauti unless ni homosexual which is disgusting.
Hakuna muda unakuwa unahitaji financial support, etc.


Wewe haujui lolote kuhusu ndoa therefore, usiongelee lolote juu ya usichojua.
 
Muongo bwana huyu. Sio kweli hapo anataka tu kuprove point ila hana kitu kama hicho. Akinisikiaga tu sauti yangu analoa....
Alitoka mbio baada ya kumuuliza hili swali?😂😂😂 mpaka sasa sijui hata yuko mtaa gani huyu my frende!

Ila siamini katika zama hizi binti atakuwa mpaka kufikia her mid 20’s hajapigwa kigogo! Watoto wanaojitunzaga akikaza sana basi form 5 hapo lazma apate mjanja wa kumkaza! Wachache sana wanafikia age ya chuo hawajakamuliwa its likely 1% ya female population labda!

Ila huyu mtoto anatoaga mixed signals sijui huenda labda ni BK kweli au alishawahi kuumizwa maybe baharia alimtatua akampa maumivu so ana uoga wa kurudia tena kile kitendo! Huwa simuelewagi kwa kweli ila signals zake ni common psychology kwa wanawake ambao hawana experience sana ya mambo ya sex!
 
Umri haujafika. Ignorance is a bliss. Au kwa kiswahili tunasema kutokujua hatari ya jambo lolote inakupa aman ya muda tu......
Upo sawa.... Kuolewa n muhimu tena katka muda muafaka atleast 25 uwe ushaolewa kama Mungu kakujalia na kama bado n kumake efforts tu uolewe/uzae (uwe na watoto) polen sana ambao muda umewatupa mskate tamaa God s good,
 
Hichi ulichoongea hapa tunaita junktruth..... Yaani ni sawa na mwanamke ambaye ameamua kuwa kahaba ili kulea watoto wake, ni kweli anajitoa kwaajiri ya watoto wake ila ni mpumbavu na anakosea....

So tukirudi katika hoja yako hii batili, ukweli utabakia kuwa unapojifunzia jambo ndipo kutakujenga kuwa mtu wa aina gani juu ya hilo jambo.

Jamii yetu ya sasa kutokana na ulegevu katika usimamizi wa maadili ulipelekea tabia chafu kusambaa na matokeo yake ndio haya kizazi cha watoto kama wewe wasio na mitazamo mizuri juu ya maisha kazi kubwabwaja wasichokijua kuhusu mambo ya msingi.

Ni aibu na fedheha kubwa kuwa na taifa lenye mabinti wadogo wenye mitazamo hasi juu ya ndoa kama wewe. Hebu wazia wewe ndie unakuja kuwa mama wa watoto lets say roughly watoto watano, tayari wameletwa watoto watano duniani ambao ni uzao wa mama asie na spirit nzuri ya familia therefore kizazi cha nyoka kina multiply taratibu.

Nadhani unaweza kuona tatizo ni nini hapo hadi sasa.

So cha msingi sisi wachache ambao MUNGU ametupa karama ya kusimamia ukweli wa kiroho kuwa ndoa ni taasisi takatifu na ni lazima kuisheshimu na kuisimamia then tutaendelea na hiyo kazi kwa bidiii.

Wewe na kizazi chako cha kuendeleza maoni ya kuzimu endelea na kazi yako na pia ukiwa na shida endelea kumuomba huyo muovu shetani akupe mahitaji yako usije huku upande wa MUNGU.

Laanatul kabisa.
 
No hard feelngs upo sawa kbsaa mkuu
 
Vidonge vya uzazi wa mpango ndivyo vinawasabisha hao Ke wawe hivyo na vyakula wanavyokula visivyo na virutubisho vya afya zaidi ya kujaza matumbo tu.


Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Nilishawaandikia uzi hapa kuwa mojawapo ya kazi ya vidonge vya uzazi ni kuvuruga ovulation cycle pamoja na hormones za hisia sababu lengo ni kuharibu kabisa mfumo wa hisia na uzazi. Ndio maana mabinti wengi now days unaona wana vitu vya ajabu sana.....
 
Matatizo haya yanatokana na kumezeshwa fikra chafu, kutumia vidonge vya uzazi, kutokula balanced diet unakuta binti anamafuta mwili umevimbiana kama nguruwe wa kisasa. Haya yote huwa yana interfere na hisia za kimwili
 
Mwenye masikio na asikiee
 
Kuna andiko nilikutana nalo mtandaoni linaelezea testimonials za wanawake mamilionea na MCEO kutoka mataifa tofauti Japan, Amerika, Germany na kwingineko. Wanaelezea life baada ya kufika umri wa miaka 35+ to 50+ bila ndoa wala familia.

Utawaonea huruma walichoandika humo ndani. Anyways mimi huwa sipendi kubishana na watu ambao wanahisi wanajua zaidi huwa nawaacha waje kujionea..... Ngoja tukae kimya muda utatoa majibu.
 
Wewe utakuwa na matatizo si haba.So far nimekugundua kwenye comments zako unaropokwa sana.Upo so low minded!

Hizo laana zako zitakurudia we na ukoo wako wote,in double proportion tena!!Halafu usipende kupersonalize vitu!Kuwa na busara!

Hakuna mahali niliposema ndoa si takatifu.
Ila nimesema ndoa si ya watu wote.Sasa we nenda rudi zunguka we lakini utarudi pale pale marriage isn't for everyone thats the naked truth.And yes kuna watu wanaishi miaka bila kusaini mkataba wa ndoa na wana function sisemi kwasababu mimi ni fan wa hiko kitu ila it exists.Sasa kama unafikiri na porojo zako utabadilisha ukweli.Good luck!

Kama walivyosema wahenga ishi ujifunze!
 
Matatizo haya yanatokana na kumezeshwa fikra chafu, kutumia vidonge vya uzazi, kutokula balanced diet unakuta binti anamafuta mwili umevimbiana kama nguruwe wa kisasa. Haya yote huwa yana interfere na hisia za kimwili
Rubbish talk!
Unazungumza vitu hata usivyovijua.Kuna watu hawali hata vidonge na hisia hawana.Kuna watu wameumbwa naturally with low libido.Its kind of lame to find stupid excuses to support your idiotism!
 
35+ hautakiwi kuwa na mazungumzo ya ndoa tena, wewe umeshachelewa ndoa sio platform yako ya discussion.

I mean, mwanamke anaanza kumature at the age 16 kwa wastani ingawa wengine wanamature below hapo. Sasa wewe tuassume ulimature ukiwa na miaka 18. Miaka 35 - 18=17

So this means kuwa baada ya kutimiza miaka umri wa miaka 18 ambayo ni universal adult age, umespend miaka 17 ya maisha yako kuruka ruka na ujana bila kujifunza lolote zuri la mahusiano halafu baada ya hiyo miaka 17 finally unataka kusettle down kutafuta mahusiano serious, like as if mahusiano ni jambo la siku moja paaaaap linatokea...... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aiseeee.....

Okay the simple fact ni kuwa katika age ya miaka 30+ kwa mwanamke kwanza inaonyesha haukuwa serious na maisha yako in general. Huwezi kunambia maisha yako yote hukuwahi kutana na watu serious wa kuingia nao katika mahusiano bali shida ni wewe haukuwa serious na mahusiano.


Pili, umri kuanzia 30+ kwa mwanamke inaanza kuweka taa nyekundu ya hatari katika ndoa. Sababu at that age unakuwa under experienced kurun majukumu ya uzazi na ulezi ambazo ndizo essential components za ndoa kwa mwanamke.

Unakuwa hauna hometraining za kusimamia home affairs mfano finance, kusolve disputes za kifamilia, kushiriki maswala ya kifamilia, kuwa na uwezo wa kuwa mke wa mtu na kadhalika.

Huo ni umri wa kukubali matokeo. Na ukipata mtoto at that age, unakuwa haina maana tena, maana unarudi kule kule ulipopakataa, kujenga familia na kupata watoto ili waje kuwa wanajamii. Sasa wewe ulizembea katika ujana wako halafu uzeeni ndio uanze kuleta harakati za ujenzi wa familia?!

Katika huo umri wewe fuga kuku, ng'ombe, mbuzi nguruwe ndio wawe familia yako wakukeep busy at least utakuwa unaisaidia jamii.
 
hii inaapply to both of them
Mfano wewe ukipigwa mashine na wanaume 3 tofauti wote wakakuzalisha na mkakorofishana. Na mimi nikazaa na wanawake 3 tofauti na nikakorofishana nao.

Tukisema tukusanye watoto mimi nitapata mwanamke wa kunisaidia kulea hao watoto hao wa3 na wakaja kuwa na maisha fresh tu baadae na mke nilie nae tukapata watoto zaidi pia.

Wewe sasa tafuta mwanaume wa kulea nae hayo mabao matatu ya wanaume tofauti halafu na yeye azae wakwake na wewe tuone kama ni kazi rahisi.
 
marriage is always overrated..my mom told me that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…