Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Umesema vemaSasa hiyo statistic utaipata wapi sa hii?
Usiingie kwenye ndoa kama haitakupa furaha. Toka kwenye ndoa kama haikupi furaha. Ndoa yenye furaha haimaanishi ndoa isiyo na changamoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema vemaSasa hiyo statistic utaipata wapi sa hii?
Usiingie kwenye ndoa kama haitakupa furaha. Toka kwenye ndoa kama haikupi furaha. Ndoa yenye furaha haimaanishi ndoa isiyo na changamoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah bro.... Umeongea maneno mazito balaa. Ambaye hata kuelewa hapa then basi asubirie tu muda ufike kisha aje kukusoma tena.Mimi nachotaka kusema hapa enyi kinadada wekeni akiba ya maneno.
Wadada au sijui wamama (singo moms) waliochangia hapa wengi wao huu uzi ni mkubwa kwao,bint ukiwa na miaka 22/26 fresh from university na miluzi mingi mtaani huwezi kuelewa wala kuzingatia kilichoandikwa hapa mpaka ufike 28 worst zaidi red light inaenda kuwaka ukiwa 33 kuitafuta 36 hapo hata mpiga debe huwa anatamaniwa,na hapa ndipo penye hatari kwa sababu unataka kuolewa (by force) utakutana na mwendawazimu anakupiga mimba anakugeuza single mama wewe tena lako limeisha.l
Hawa hawa wanaojitutumua hapa ndiyo wale wale watakorudi kwa IDs zao nyengine kutafuta wenza wa kuwaowa.
Swala sio kitandani tu. Mahusiano ni complexity ya mambo mengi sana ambayo ni mahitaji ya kibinadamu.Dah hili gumu sana kwa maisha ya leo, umejaribu kuzungumza na tabibu kuona kwanini hali hii inakupata! Unajua kuna kutopenda na kuna kutofurahia kitu! Can you make it clear hapo? Hupendi ama hufurahii? Do you have bad memories with it?
Binti huyo bado wakati haujafika..... Sasa hivi anaenda na story za kuambiwa muda wake haujafika..... Ngoja aingie danger zone ndio atajua kumbe za kuambiwa huwa zinachanganywa na zako mwenyewe.Una maana gani kusema hivi? Kwanini kusema/kuhisi kwamba ndoa nyingi hazina furaha,mzee wewe umeowa?
Aisee ni mengi ila pamoja na yote kutiana ndio msingi! Kama hapo panakuwa na utata dunia itajazwa vipi sasa?Swala sio kitandani tu. Mahusiano ni complexity ya mambo mengi sana ambayo ni mahitaji ya kibinadamu.
Muongo bwana huyu. Sio kweli hapo anataka tu kuprove point ila hana kitu kama hicho. Akinisikiaga tu sauti yangu analoa....Im so sorry my frende, its going to suck but maybe ni disorder tu mi siamini kama kuna mtu hasisimuki na hisia za ngono! Yani katika maisha yako toka unavunja the so called ungo hukuwahi kusisimuka kufanya mapenzi na mtu au watu uliobahatika kukutana nao!
All i know kuna wanaume lazima walikuvutia in the sense of love na mambo yote aint that right?
Labda kwako na familia umetokea ila ndoa sio wazo la kibinadamu bali ni asili ya mwanadamu na automatically inakuwa ni lazima.Kuoa au kuolewa sio mafanikio ktk maisha, bali ni jamii imejenga hizo fikira potofu na zinaathiri maisha ya watu Wengi sana, kwani wanatumia muda mwingi na rasilimali ktk eneo hilo. kama kijana kuanzia miaka 18 - 30 atatumia muda na rasilimali zaidi kwenye kuwekeza anakua na uchumi na Afya Nzuri zaidi, kwa umri kama huo ukitumia 10% ya muda wako na rasilimali ktk mahusiano na ndoa unakua na hasara Kubwa sana.
Alitoka mbio baada ya kumuuliza hili swali?😂😂😂 mpaka sasa sijui hata yuko mtaa gani huyu my frende!Muongo bwana huyu. Sio kweli hapo anataka tu kuprove point ila hana kitu kama hicho. Akinisikiaga tu sauti yangu analoa....
Upo sawa.... Kuolewa n muhimu tena katka muda muafaka atleast 25 uwe ushaolewa kama Mungu kakujalia na kama bado n kumake efforts tu uolewe/uzae (uwe na watoto) polen sana ambao muda umewatupa mskate tamaa God s good,Umri haujafika. Ignorance is a bliss. Au kwa kiswahili tunasema kutokujua hatari ya jambo lolote inakupa aman ya muda tu......
Hichi ulichoongea hapa tunaita junktruth..... Yaani ni sawa na mwanamke ambaye ameamua kuwa kahaba ili kulea watoto wake, ni kweli anajitoa kwaajiri ya watoto wake ila ni mpumbavu na anakosea....Ni fikra au itikadi za kiimani ambayo imeshaweka tangia enzi na enzi na inatuathiri mpaka leo.
Ndoa ni makubaliano ,kihalalisho au kithibitisho katika jamii kwamba wawili hawa wapo pamoja officially.
Ndoa ni muhimu ijengwe na msingi wa upendo,vingenevyo inakuwa pambo tu na inapoteza mantiki na ladha ya ndoa.So umri haupaswi kuwa kigezo katika ndoa ndo maana wapo wanaofunga ndoa za uzeeni.
Ndoa nyingi hazidumu kwasababu zinafungwa kwa minadhiri potofu aidha umri umekwenda au kufata mkumbo.
Ndoa sio ya kila mtu.Naweza kusema ni fani ambayo si kila mja anaimudu ndo maana ndoa nyingi hazidumu.Kuna watu walivyoumbwa ipo katika asili yao hawezi kudumu na mtu mmoja sasa hapo kutakuwa na ndoa? labda ya mitala!
Tuwe na uelewa sio watu sote wanaipa ndoa kipaumbele au wanataka ndoa.Hii inaweza kutokana na sababu tofauti mfano mtu ameexperience ndoa alofunga mwanzo haikuenda vizuri na baada ya hapo hataki kabisa kusikia habari hio.Au ameona wazazi wake au watu wanaomzunguka wanavyohenyeka katika ndoa so haoni umuhimu!
Kuna baadhi ya nchi za magharibi kutokufunga ndoa ni jambo la kawaida yaani watu wanaishi pamoja kama mke na mume miaka nenda miaka rudi lkn hamna ndoa.Kama kujijenga wanajijenga na kuzaa wanazaa ila wanaandikiana contract ili wakiachana wanagawana mali n.k
No hard feelngs upo sawa kbsaa mkuuHahahah the problem is maisha ili yawe na maana ni vyema kuwa na familia! We both need that na ndio maana waliojaaliwa wanaoa na kuolewa! Its a natural thing kwamba itafikia wakati lazma mwanamke aolewe afanye familia yake na mumewe!
Ila kwa ma Sadist wengi na feminist ndio wanataka kulifanya hili kama vile sio muhimu na kuwaaminisha upuuzi ila deepdown mwanamke anayejielewa atataka awe na mume wake by any means!
Nilishawaandikia uzi hapa kuwa mojawapo ya kazi ya vidonge vya uzazi ni kuvuruga ovulation cycle pamoja na hormones za hisia sababu lengo ni kuharibu kabisa mfumo wa hisia na uzazi. Ndio maana mabinti wengi now days unaona wana vitu vya ajabu sana.....Vidonge vya uzazi wa mpango ndivyo vinawasabisha hao Ke wawe hivyo na vyakula wanavyokula visivyo na virutubisho vya afya zaidi ya kujaza matumbo tu.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Matatizo haya yanatokana na kumezeshwa fikra chafu, kutumia vidonge vya uzazi, kutokula balanced diet unakuta binti anamafuta mwili umevimbiana kama nguruwe wa kisasa. Haya yote huwa yana interfere na hisia za kimwiliEbu achana na hizo stories za kusadikika.
Mungu mwenyewe kaumba viumbe vyote hai kwa jinsia 2(Ke na Me) na ikiwa kwa viumbe vingine hai kama nyani, kuku hawana hayo matatizo ktk sex, iweje kwetu sisi Binadamu ndiyo iwe?
Si sisi Binadamu ndiyo tumependelewa haswa kuumbwa ktk uzuri, utimamu wa akili na hata maarifa kuliko hivyo viumbe vingine na ndiyomaana tukapewa mamlaka ya kuvitawala, Sasa hizi hadithi zenu za njoo utamu kolea mnazitolea wapi tena?
We una tatizo la kuathirika kiakili kwa kijijengea imani potofu juu ya hilo/psychological problem ambalo no jepesi sana kutatulika ukimkabidhi Mungu njia zako kiimani.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Mwenye masikio na asikieeMimi nachotaka kusema hapa enyi kinadada wekeni akiba ya maneno.
Wadada au sijui wamama (singo moms) waliochangia hapa wengi wao huu uzi ni mkubwa kwao,bint ukiwa na miaka 22/26 fresh from university na miluzi mingi mtaani huwezi kuelewa wala kuzingatia kilichoandikwa hapa mpaka ufike 28 worst zaidi red light inaenda kuwaka ukiwa 33 kuitafuta 36 hapo hata mpiga debe huwa anatamaniwa,na hapa ndipo penye hatari kwa sababu unataka kuolewa (by force) utakutana na mwendawazimu anakupiga mimba anakugeuza single mama wewe tena lako limeisha.l
Hawa hawa wanaojitutumua hapa ndiyo wale wale watakorudi kwa IDs zao nyengine kutafuta wenza wa kuwaowa.
Kuna andiko nilikutana nalo mtandaoni linaelezea testimonials za wanawake mamilionea na MCEO kutoka mataifa tofauti Japan, Amerika, Germany na kwingineko. Wanaelezea life baada ya kufika umri wa miaka 35+ to 50+ bila ndoa wala familia.Kwa wale wanaoaimini katika biblia. Watakubaliana na mimi ya kuwa mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanaume, kwa hiyo kusudi la mwanamke kuwako Duniani kuwa msaidizi wa mwanaume....!
Sasa inapotokea mwanamke hajapata mwanume wa kumuoa na umri umefika hapo lazima apate msongo mkubwa wa mawazo, hata kama ana mali kiasi gani. Kwa sababu hiyo ni asili...!
Na kamwe wanadamu hatuwezi kwenda kinyume na maumbile, na kama tukilazimisha basi lazima madhara yaonekane hata kwa baadae.
Ila huwezi kwenda kaburini kabla ya kuona madhara ya kwenda kinyume na asili ya ulimwengu huu
Wewe utakuwa na matatizo si haba.So far nimekugundua kwenye comments zako unaropokwa sana.Upo so low minded!Hichi ulichoongea hapa tunaita junktruth..... Yaani ni sawa na mwanamke ambaye ameamua kuwa kahaba ili kulea watoto wake, ni kweli anajitoa kwaajiri ya watoto wake ila ni mpumbavu na anakosea....
So tukirudi katika hoja yako hii batili, ukweli utabakia kuwa unapojifunzia jambo ndipo kutakujenga kuwa mtu wa aina gani juu ya hilo jambo.
Jamii yetu ya sasa kutokana na ulegevu katika usimamizi wa maadili ulipelekea tabia chafu kusambaa na matokeo yake ndio haya kizazi cha watoto kama wewe wasio na mitazamo mizuri juu ya maisha kazi kubwabwaja wasichokijua kuhusu mambo ya msingi.
Ni aibu na fedheha kubwa kuwa na taifa lenye mabinti wadogo wenye mitazamo hasi juu ya ndoa kama wewe. Hebu wazia wewe ndie unakuja kuwa mama wa watoto lets say roughly watoto watano, tayari wameletwa watoto watano duniani ambao ni uzao wa mama asie na spirit nzuri ya familia therefore kizazi cha nyoka kina multiply taratibu.
Nadhani unaweza kuona tatizo ni nini hapo hadi sasa.
So cha msingi sisi wachache ambao MUNGU ametupa karama ya kusimamia ukweli wa kiroho kuwa ndoa ni taasisi takatifu na ni lazima kuisheshimu na kuisimamia then tutaendelea na hiyo kazi kwa bidiii.
Wewe na kizazi chako cha kuendeleza maoni ya kuzimu endelea na kazi yako na pia ukiwa na shida endelea kumuomba huyo muovu shetani akupe mahitaji yako usije huku upande wa MUNGU.
Laanatul kabisa.
Rubbish talk!Matatizo haya yanatokana na kumezeshwa fikra chafu, kutumia vidonge vya uzazi, kutokula balanced diet unakuta binti anamafuta mwili umevimbiana kama nguruwe wa kisasa. Haya yote huwa yana interfere na hisia za kimwili
35+ hautakiwi kuwa na mazungumzo ya ndoa tena, wewe umeshachelewa ndoa sio platform yako ya discussion.
Mfano wewe ukipigwa mashine na wanaume 3 tofauti wote wakakuzalisha na mkakorofishana. Na mimi nikazaa na wanawake 3 tofauti na nikakorofishana nao.hii inaapply to both of them
marriage is always overrated..my mom told me thatKwa nini mwanamke kuolewa inaonekana ni jambo muhimu, kipaumbele, heshima na mafanikio makubwa kuliko kupata PhD, kujenga nyumba yake, kumiliki biashara yake, kuwa boss wa kampuni kubwa n.k?
Mafanikio makubwa si yale ambayo mtu anayapata kupitia jitihada zake mwenyewe kuliko yale ya kupewa au kusubiria maamuzi ya mtu mwingine?
Kwa nini wanawake ambao wanaamini wanachelewa kuolewa huwa katika pressure kubwa sana ukilinganisha na wanaume?