Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

Siku judge ila nakueleza ukweli, wewe huoni wivu ukiona kuna wenzako wameolewa na wanalea watoto properly wakiwa na baba zao! They have men to guide them in everyday life katika mipango yao?
Mwanamke wa kiafrika kuwa accountable na matendo yake ni ngumu kuliko ngamia kupita katika tundu la sindano.
 
ila namuomba Mungu anipe mwanaume huyohuyo ndo awe baba wa watoto wng
Sasa ukitaka umpate then hizi jeuri jeuri na majibu ya kiburi na kuonyesha kuwa hubabaishwi na kitu muwe mnaacha.

Mbona hadi mama zenu wanawashangaa ninyi mabinti wa siku hizi, wanasema sisi hatujawalea wala kuwafundhisha vitu wanavyofanya......
 
Mwanamke wa kiafrika kuwa accountable na matendo yake ni ngumu kuliko ngamia kupita katika tundu la sindano.
Ulivyo mnafiki sasa na unavyopita kuhukumu wenzio humu sidhani hata ww kama utapita kwenye hio tundu ya sindano!
Stop misusing the word of God while you cannot even live upto it urself!
 
Reactions: Cyb
mm ni mfano wa watoto ambaye baba ni mmoja ila mama tofauti...
Ndio maana. Na sisi mnavyotuona hapa tunapiga kelele usiku na mchana kukemea Ma'single mother na vijana wanaozaa zaa hovyo na binti kisha hawaoi.

Tunakemea ili watoto wasije kupitia experience kama hiyo uliyopitia ya baba kuwachanganya kila mtoto na mama yake.

Huwa ni mbaya sana. Anae umia ni mtoto. Ona sasa kama hapa unakuwa unapata wakati mgumu sana kuelewa why wanawake wanalaumiwa au kwann watu wasipoolewa wanaoneakana ni wa ajabu.

That's the problem.

Anyways its not your fault and may God bless you daughter and keep you safe, uondokane na mikosi itakayokuingiza kundi la wanawake watakao zaa hovyo bila kuwa na ndoa ya one man with all the kids from him.

Be safe be blessed.
 
Ulivyo mnafiki sasa na unavyopita kuhukumu wenzio humu i hope ww utapita kwenye hio tundu ya sindano!
Stop misusing the word of God while you cannot even live upto it urself!
usimsikilize huyu mkuu nimeona kwa macho yangu na kushuhudia maisha ya ndugu zangu yaliyoharibika kisa kukimbilia ndoa na sio kufocus kwenye maisha na kujijenga kimaisha mpaka leo hii nina priority 3
1.kuwa vizuri kiuchumi
2.kujipenda mwenyewe kwanza na ndugu zangu
3, Ndoa if i got lucky
 
I can pay my own bills ila akianza kuelekea jioni ataanza kumuwinda hata mchoma mahindi stendi [emoji23][emoji23][emoji23] na kujidai ana mapenzi mazito!
Wapo wengi sana ila the terrible thing about hii specie ni hawakubali kuwajibika kwa makosa yao hata siku moja. Hapo ukimkuta amefikia hatua hiyo ataanza kublame wanaume kuwa ndio wamemsababishia.

Na hii ndio kitu inatakiwa tudeal nayo kwasasa wanajamii. Wanawake wanaojisababishia majanga kisha hawataki kuwajibika kwa makosa yao kazi kusingizia wanaume.
 
Pole sana, kama unaishi kwenye jamii yeyote duniani utagundua ndoa sio mafanikio na binadamu anaweza kuishi bila ndoa, ndoa ni mkataba kati ya Mwanaume na mwanamke. na hao watu wanaweza kuishi au kushirikiana bila huo mkataba, Support unaweza kupata kwa mtu, kikundi au taasisi yoyote. Ukiwa na akili tegemezi ndio unaanza kuona ndoa kama sehemu ya kukimbilia na ni moja ya vyanzo Vya migogoro kwani unakua umefuata pesa.
 
Uko sahihi Tz ikipata robo ya wanaume wenye uelewa huu hata nchi itaendelea, hongera sana kwa kujua ukweli
 
[emoji23]
 
Sometimes unakuta wazazi nao wanachangia. Mama, mashangazi, mama wadogo, unakaa na mtoto unamuelezea matatizo yako na baba yake au mume wako unategemea mtoto anajifunza nini.....!!

Sasa kabinti ka miaka 19 au 23 kanakuja kukwambiame ndoa siwezi kwakweli, na wala sitakuja kuiweza, au ndoa ina mambo mazito, muulize sasa wewe uliolewa na nani na ndoa yako ilidumu miaka mingapi uone dishi linavyoyumba.

Wengi ni maneno ya kumezeshwa na watu wanaowazidi umri.
 
Upo sawa.... Kuolewa n muhimu tena katka muda muafaka atleast 25 uwe ushaolewa kama Mungu kakujalia na kama bado n kumake efforts tu uolewe/uzae (uwe na watoto) polen sana ambao muda umewatupa mskate tamaa God s good,
Very true
 
Hahahhaha kweli hawa wanamezeshwa sumu sana mtu hajawahi hata kudumu na mchumba mmoja anajitia kungwi wa kunanga ndoa! Af haka katoto kadogo sana basi tu sijui kwanini kapo hivyo na uoga uoga!
 
Bado unapiga chenga za mwili.... Wewe unasimama wapi?! Wewe personally sio unatuongelea kama mwakilishi wa wanawake wote hapa duniani.

Wewe kama wewe unasimama wapi na swala la ndoa. Hiyo ndio inatakiwa kuwa opinion au mchango wako katika huu mjadala.

Otherwise unakuwa just another baby bubbling (talking) about adult affairs........
 
Rubbish talk!
Unazungumza vitu hata usivyovijua.Kuna watu hawali hata vidonge na hisia hawana.Kuna watu wameumbwa naturally with low libido.Its kind of lame to find stupid excuses to support your idiotism!
Utapinga kushinda but sio kusema ukweli. So unataka kutuambia kuna mwanamke anazaliwa bila ovulation process.... Kwa taarifa yako as long as mwanamke ana mji wa uzazi active lazima mwili wake utakuwa unatafuta mwanaume wa kumpentrate....

Tukitoa wale wachache ambao anaweza kuwa alibakwa au anaumwa kiasi kwamba ni ngumu kupata utulivu wa akili na mwili of which nayo si hali permanent inaweza tibika. But kila mwanamke hawezi kukosa hamu unless awe anaumwa, yupo under heavy medication au kuna psychological issue kama kupitia matatizo ya ubakaji na kadhalika.
 
The same applies to you!

Na ww unaongea kama nani unawakilisha wanaume wote duniani?

Wanaume wa ukweli wa humu JF wanaojitambua huwezi kuwakuta wakiropokwa utopolo kama wako!

Grow up dude!
 
Reactions: Cyb
Ulivyo mnafiki sasa na unavyopita kuhukumu wenzio humu sidhani hata ww kama utapita kwenye hio tundu ya sindano!
Stop misusing the word of God while you cannot even live upto it urself!
Lakini mpenzi kwan hupendi niseme ukweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ni daktari au una taaluma katika eneo hilo? au unaongea kufurahisha jamii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…