Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Mwanamke wa kiafrika kuwa accountable na matendo yake ni ngumu kuliko ngamia kupita katika tundu la sindano.Siku judge ila nakueleza ukweli, wewe huoni wivu ukiona kuna wenzako wameolewa na wanalea watoto properly wakiwa na baba zao! They have men to guide them in everyday life katika mipango yao?