Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

Lakini mpenzi kwan hupendi niseme ukweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna cha ukweli magazeti yote unayoandika kujisumbua ni waste kwa kweli!Unajisumbua sana na vitu vilivyo nje ya uwezo wako!Hilo inabidi ulikubali tu!Dunia inabadilika kwa spidi kali na inabidi uanze kuadopt na mabadiliko au tutakuacha nyuma aisee!
 
Maisha yana "fakes" nyingi sana kama pesa, mali, majumba, starehe.

Lakini kiuhalisia utakuja kugundua maisha yanahitaji LOVE ( UPENDO ), AMANI na FURAHA.

Ukiwa na mtu anayeweza:

  • Kusimama na wewe katika nyakati ngumu,
  • Kukutia moyo
  • Kukupenda

Nakuhakikishia utahisi you have the world hata kama hujala siku 2

Ukitaka kujua hili, siku ukiwa very stressed au deppressed, hebu chukua simu yako mpigie mtu unayempenda, eithet awe:

  • Mama
  • Baba
  • Mwanao
  • Mpenzi
  • Mjomba
  • Rafiki

Utajihisi moyo unapoa tuliiii

Ndio maana hata wagonjwa, huko hospitalini akioneshwa upendo anakuwa poa mnooo.

Hii siri ya upendo, hamasa na matumaini inatumiwa sana na:

  • Viongozi wa dini
  • Motivational speakers

Hakuna jambo zuri kama kuambiwa Nakupenda, kutoka kwa mtu umpendae.

Ukiwa bado kijana, una nguvu mbwembwe zinakuwa nyingi. Ila itafikia stage hata kukaa mjini utaona kelele, hata ukiwa na majumba 600 utalala kwenye chumba kimoja. Na wakati huo utahitaji kuwa na mtu wa karibu siyo tena kampani za Bar na Night clubs.

Family! family! family! Is irreplaceable.

Vitu vingine kama midegree, sijui vyeo ni vitu artificial vya kutengeneza tu.

Hapo Lowassa hahitaji tena Pesa, partying wala vyeo.

Anaihitaji tu ukaribu na familia yake
👇👇

View attachment 1773903
Hiyo JD hapo mezani imenitoa mate sana!
 
usimsikilize huyu mkuu nimeona kwa macho yangu na kushuhudia maisha ya ndugu zangu yaliyoharibika kisa kukimbilia ndoa na sio kufocus kwenye maisha na kujijenga kimaisha mpaka leo hii nina priority 3
1.kuwa vizuri kiuchumi
2.kujipenda mwenyewe kwanza na ndugu zangu
3, Ndoa if i got lucky
Sasa mbona umeshakuwa muwazi kuwa hiyo ni experience ambayo ipo kwenye familia yako so it means walirithishana. Na wewe unaelekea huko huko.

Ipo hivi.... Background ya familia inaplay part kubwa sana katika malezi na kushape akili ya watoto wa uko fulani. Ndio maana kuna familia kama ya binti yao kuozwa katika familia fulani au wao kwenda kumlipia mahari kijana wao kwenye ukoo wa binti huwa wanachunguza lifestyle ya hiyo familia husika kisha kubaini kama ni watu sahihi kuchangamana nao ama la.

Sasa wewe badala ya kulamu taasisi ndoa na kuchukia ukiita ni taasisi yenye nuksi then nakushauri chunguza kimya kimya anza na wazazi wako uone nini kilienda kushoto.

Unaweza kuta balaa aidha lilitoka ukoo wa mama yako au baba yako au ni wazazi wenu maisha waliyowalea watoto m'mekuwa na mitazamo isiyo ya kawaida na desturi zao walipotoka.

Nje ya hapo usihangaike hata kujadili maswala ya ndoa sababu utakuwa under qualified.
 
marriage is always overrated..my mom told me that
Na muonea huruma mama yako,japokuwa ni mama yako ila bado hajakuwa.Halafu ndio role model wako, kwa mawazo kama hayo anayo kulisha mama yako,huyo mwanaume atakaye kuoa utamtengenezea kajehanam chake peke yake duniani,sababu hujui maana ya ndoa.

So sio kosa lako bali kosa la mama yako.

Mungu kaweka ndoa sio mjinga anajua kabisa ktk maisha kuna magumu utayapitia kama mwanadamu hajalishi una hela au kapuku.Katika maisha inafika kipindi uhitaji hela bali unahitaji mtu wa kukufariji,kukuliwaza,kukutia moyo unapopitia magumu,kumwambia mambo yako ndani ,kumwambia machungu yako nk mtu mwenyewe si mwengine ni mwenza wako/mwandani wako/MUME WAKO.

Asikudanganye mtu hamna kitu kibaya kama upweke ,upweke unaua,upweke ni ugonjwa na ndio maana hata wazee ambao wapo pekee yao huwa wanalizimisha watoto wao wawape hata mjukuu mmoja wa kuichangamsha nyumba,wakumfanya awe busy.

Najua utasema wanaume wanakera,ila na kwambia wanao gombana ndio wanaopata,kupitia ugomvi ndio bondi ina imarika,baada ya kipindi fulani yale magomvi yenu mtayaona upuuzi na kuanza kutaniana.

Ila sijui umekulia mazingira gani,ila KAMA NDOA NI NGUMU JARIBU UPWEKE,kuna kipindi utatafuta mtu hata wa kukukera husimpate,unaweza ukakuta hata inzi na mbu wanakukimbia,jumba lako la kifahari utaliona kubwa kama uwanja wa Mkapa,hela zako nazo utaziona hazina maana.
 
Pole sana, kama unaishi kwenye jamii yeyote duniani utagundua ndoa sio mafanikio na binadamu anaweza kuishi bila ndoa, ndoa ni mkataba kati ya Mwanaume na mwanamke. na hao watu wanaweza kuishi au kushirikiana bila huo mkataba, Support unaweza kupata kwa mtu, kikundi au taasisi yoyote. Ukiwa na akili tegemezi ndio unaanza kuona ndoa kama sehemu ya kukimbilia na ni moja ya vyanzo Vya migogoro kwani unakua umefuata pesa.
Umenipa uvivu hata kukuelezea sababu itabidi nianze na maandiko ya ufunuo pale yanaposema hapo mwanzo kulikuwa na neno.......

Ila labda nikuulize swali dogo sana na naomba unijibu kiungwana tu.

Wewe ni mtu wa imani gani?!

Una umri gani?!

Na elimu yako ni kiwango gani?!

Kama upo serious na huu mjadala hautashindwa kuyajibu hayo maswali.
 
The same applies to you!

Na ww unaongea kama nani unawakilisha wanaume wote duniani?

Wanaume wa ukweli wa humu JF wanaojitambua huwezi kuwakuta wakiropokwa utopolo kama wako!

Grow up dude!
Nadhani neno ulilotakiwa kutumia sio wanaume wanaojitambua sema wasio na muda wa kupoteza kubishana na mtu ambaye hayupo mkao wa suluhu bali ana akili za kitoto za kutaka kushindanisha kauli.

Sasa wewe utasema ushindane na mimi kwenye eneo gani kwa mfano tuanzie hapo labda....?!

Hapa mimi naongea na wewe kama kaka yako na wala sio mdogo wako au mwenzako!

Haunifikii kipato na nina uhakika haujaanza kujitegemea so why sasa ubishane na mimi kuhusu mahusiano?!

Sipo hapa kubishana na wewe au mwingine yoyote ila nipo hapa kuweka ukweli sawa.

Wewe kama unaona maisha ni michezo ya dialog ya kubishana mimi nimesema hivi wewe ukajibu vile hiyo ni ukosefu tu wa adabu na kukosa stara katika mazungumzo.

Anyways, ishi unavyotaka, ukikwama maisha na mitazamo yako thats your life you will be the one to pay the cost with your life.

Mwanaume na mwanamke huwa hawashindani wala kulingana.
 
Wewe ni daktari au una taaluma katika eneo hilo? au unaongea kufurahisha jamii?
Look how ignorant and arrogant ulivyo?! So u need to stay in a university for 7 years to understand how ovulation works in women.... And what factors that may affect ovulation process?!

Aiseee halafu unakuta una A ya biology.....
 
Huna cha ukweli magazeti yote unayoandika kujisumbua ni waste kwa kweli!Unajisumbua sana na vitu vilivyo nje ya uwezo wako!Hilo inabidi ulikubali tu!Dunia inabadilika kwa spidi kali na inabidi uanze kuadopt na mabadiliko au tutakuacha nyuma aisee!
Sometimes ni vema kubadilika na dunia ili kuboresha maisha ila ukiona dunia inakufanyaa upotee then its time wewe uanze kuibadili dunia. For me this is that moment dunia inataka kunirubuni inipoteze so am sorry siwezi kurubunika.....

Nini jamii itagain kuwa na wanawake wanaozalia nje ya ndoa na kuwa na watoto with multiple fathers crating broken homes.....?!

Girl....check with your Holly books u might learn something that will cure your spirit from evil contamination.
 
Na muonea huruma mama yako,japokuwa ni mama yako ila bado hajakuwa.Halafu ndio role model wako, kwa mawazo kama hayo anayo kulisha mama yako,huyo mwanaume atakaye kuoa utamtengenezea kajehanam chake peke yake duniani,sababu hujui maana ya ndoa.

So sio kosa lako bali kosa la mama yako.

Mungu kaweka ndoa sio mjinga anajua kabisa ktk maisha kuna magumu utayapitia kama mwanadamu hajalishi una hela au kapuku.Katika maisha inafika kipindi uhitaji hela bali unahitaji mtu wa kukufariji,kukuliwaza,kukutia moyo unapopitia magumu,kumwambia mambo yako ndani ,kumwambia machungu yako nk mtu mwenyewe si mwengine ni mwenza wako/mwandani wako/MUME WAKO.

Asikudanganye mtu hamna kitu kibaya kama upweke ,upweke unaua,upweke ni ugonjwa na ndio maana hata wazee ambao wapo pekee yao huwa wanalizimisha watoto wao wawape hata mjukuu mmoja wa kuichangamsha nyumba,wakumfanya awe busy.

Najua utasema wanaume wanakera,ila na kwambia wanao gombana ndio wanaopata,kupitia ugomvi ndio bondi ina imarika,baada ya kipindi fulani yale magomvi yenu mtayaona upuuzi na kuanza kutaniana.

Ila sijui umekulia mazingira gani,ila KAMA NDOA NI NGUMU JARIBU UPWEKE,kuna kipindi utatafuta mtu hata wa kukukera husimpate,unaweza ukakuta hata inzi na mbu wanakukimbia,jumba lako la kifahari utaliona kubwa kama uwanja wa Mkapa,hela zako nazo utaziona hazina maana.
Mimi pia nimemuonea huruma sana. Kizazi cha watoto wa Ma'single mother ni mtihani sana.
 
Nadhani neno ulilotakiwa kutumia sio wanaume wanaojitambua sema wasio na muda wa kupoteza kubishana na mtu ambaye hayupo mkao wa suluhu bali ana akili za kitoto za kutaka kushindanisha kauli.

Sasa wewe utasema ushindane na mimi kwenye eneo gani kwa mfano tuanzie hapo labda....?!

Hapa mimi naongea na wewe kama kaka yako na wala sio mdogo wako au mwenzako!

Haunifikii kipato na nina uhakika haujaanza kujitegemea so why sasa ubishane na mimi kuhusu mahusiano?!

Sipo hapa kubishana na wewe au mwingine yoyote ila nipo hapa kuweka ukweli sawa.

Wewe kama unaona maisha ni michezo ya dialog ya kubishana mimi nimesema hivi wewe ukajibu vile hiyo ni ukosefu tu wa adabu na kukosa stara katika mazungumzo.

Anyways, ishi unavyotaka, ukikwama maisha na mitazamo yako thats your life you will be the one to pay the cost with your life.

Mwanaume na mwanamke huwa hawashindani wala kulingana.
Ha ha ha 🤣🤣🤣🤣acha nicheke kwa nguvu eti umesema nini?

Sicheki kama mazuri bali nakusikitikia!
 
Look how ignorant and arrogant ulivyo?! So u need to stay in a university for 7 years to understand how ovulation works in women.... And what factors that may affect ovulation process?!

Aiseee halafu unakuta una A ya biology.....
Ukiongea kitu uwe na knowledge navyo sio porojo tu!
 
Umenipa uvivu hata kukuelezea sababu itabidi nianze na maandiko ya ufunuo pale yanaposema hapo mwanzo kulikuwa na neno.......

Ila labda nikuulize swali dogo sana na naomba unijibu kiungwana tu.

Wewe ni mtu wa imani gani?!

Una umri gani?!

Na elimu yako ni kiwango gani?!

Kama upo serious na huu mjadala hautashindwa kuyajibu hayo maswali.
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????????????????????????????????????
 
Mimi pia nimemuonea huruma sana. Kizazi cha watoto wa Ma'single mother ni mtihani sana.
Ndio kitu pekee unachokijua!ww hata tundu ya sindano huikaribii mark my word!Utaishia kuisikia tu!

Jionee huruma ww rafiki yangu unayetaka kulazimisha vitu visivyowezekana!
 
Sometimes ni vema kubadilika na dunia ili kuboresha maisha ila ukiona dunia inakufanyaa upotee then its time wewe uanze kuibadili dunia. For me this is that moment dunia inataka kunirubuni inipoteze so am sorry siwezi kurubunika.....

Nini jamii itagain kuwa na wanawake wanaozalia nje ya ndoa na kuwa na watoto with multiple fathers crating broken homes.....?!

Girl....check with your Holly books u might learn something that will cure your spirit from evil contamination.
Hivi alipoumbwa adam na hawa walifungishwa ndoa?au waliambiwa wakazaliane wajaze ulimwengu?
 
Ha ha ha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha nicheke kwa nguvu eti umesema nini?

Sicheki kama mazuri bali nakusikitikia!
You have nothing to kunisikitikia about, on a contrary, mimi ndie natakiwa kukusikitikia kudadadeki zako..... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio kitu pekee unachokijua!ww hata tundu ya sindano huikaribii mark my word!Utaishia kuisikia tu!

Jionee huruma ww rafiki yangu unayetaka kulazimisha vitu visivyowezekana!
Sijaelewa wapi tumezungumzia mambo ya sindano...... Tundu ya sindano imekujaje tena hapo ha ha ha ha ha
 
You have nothing to kunisikitikia about, on a contrary, mimi ndie natakiwa kukusikitikia kudadadeki zako..... [emoji23][emoji23][emoji23]
This is not a joke umenifurahisha sana unavyojiamini wakati huna unalojua!
 
Back
Top Bottom