Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 459
- 1,155
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Huyu mtu ni Mgonjwa wa Afya ya akili anaumwa ugonjwa wa Sadist/Psychopath. Ukiumwa huo ugonjwa kuuwa watu milioni 10 unaona ni sawa tu.
Watoto wa Mama Tanzania,tuna bahati mbaya kweliHuyu mtu ni Mgonjwa wa Afya ya akili anaumwa ugonjwa wa Sadist/Psychopath. Ukiumwa huo ugonjwa kuuwa watu milioni 10 unaona ni sawa tu.
Itageuka kuwa bahati nzuri Tu. Nothing in life stays the same!Watoto wa Mama Tanzania,tuna bahati mbaya kweli
Acha kucheka. Mtu anaumwa ugonjwa wa afya ya akili ni Sadist/psychopath anaua watu. Huyo anaumwa ugonjwa wa afya ya akili.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Suluhisho ni nini hapo?Acha kucheka. Mtu anaumwa ugonjwa wa afya ya akili ni Sadist/psychopath anaua watu. Huyo anaumwa ugonjwa wa afya ya akili.
Watu wapo makin,hyo picha ningeitazama bila maelezo hata nisingejua kama kashika kiunoJe Nini Kimekushangaza? Je Nini Maoni Yako?
Taahira!Nimeona mjadala mkubwa wa Gen Z huko Tiktok kuhusu hii picha ya mtu aliyekuwa akiwananga huku akiwa amewashikia kiuno.
Vijana wanaulizana, kwani anatuchukuliaje?
Ilikuwa ni lazima aongee akitutaja sisi huku akiwa ametushikia kiuno?
Vijana wa kiume walienda mbali zaidi( ila mimi huko sitafika kwa ajili ya kulinda heshima ya jinsi yangu), lakini jambo hili limewashangaza sana.
Lakini mimi nimeng'amua mambo machache kwenye hii picha. Kwanza hii ni michezo ya kike tulikuwa tukiifanya utotoni kuringishia watoto wenzetu pale tulipokuwa tumenunuliwa nguo ama viatu vipya na wazazi wetu, nadhani na yeye amekumbushia utotoni kuturingishia kile anachodhani ni Madaraka makubwa ambayo wengine hawana.USHAMBA
Pili ni ishara tuliitumia zaidi sisi watoto wa kike kujihami hasa pale tulipokuwa tukihisi hatuko salama, tulikuwa tunashika kiuno huku tukijitikisa tikisa, lakini kiukweli ni kwamba ikitokea yule tuliyemuhofia anatusogolea tulikuwa tunatimua mbio.
Huyu mwanamke aliyeshika kiuno hapa anajaribu kujitikisa tikisa ili watu wasimsogee, anajua wakisogea zitamuokoa mbio. Yuko katika hatua ya mwisho kabisa ya anguko lake( The last kick of a dying horse.)...
Tukipuuze kiburi chake, ni kiburi cha kitoto ambacho hakitamsaidia kuvuka salama katika kipindi hiki.
Tumebakiza hatua moja mbele kuuangusha.
View attachment 3510847 utawala haramu wa huyu kiumbe.Tusife moyo, TUMESHASHINDA HII VITA.
TimamuTaahira!
Mzee wa kitochi ππNatumia kitochi picha sijaina ila naweza vuta tu taswira kwamba mwanamke anachamba na kuchambua kama karanga halafu kashika kiuno tena ndani ya dela! Wazee wa mchongo wameona na kuvumilia mengi sana.
We zoba hata usipoandamana utadunguliwa tu bibie wa mipasho hacheki na mafala wote wa bara zoba wahed weye πSawa haya toka ukaandamane kawaambia uwanja mweupe wakati wowote.
Siyo kuongea na watu. Kuhutubia taifa hovyo kabisa. Haijui hata maana ya kuhutubia taifaNimeona mjadala mkubwa wa Gen Z huko Tiktok kuhusu hii picha ya mtu aliyekuwa akiwananga huku akiwa amewashikia kiuno.