Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 459
- 1,155
- Thread starter
- #21
Ya Samia yajayo yatafurahisha mjurus ya wajuba 😂😂Kushika kiuno kwa mwanamke akiwa anaongea ni ishara ya ushangingi.
Mtu kama huyu hashindwi hata kuvua nguo hadharani kwa madai ya 'kumwaga radhi' kama wasemavyo wenyewe.