Mwanamke kutaka mwanaume a'provide kwao ni lazima ila kumheshimu na kumtii mwanaume ni option

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
10,999
Reaction score
23,540
Ukitazama kwenye mahusiano ya watu wengi utagundua kuwa wanawake hudhania kumtii mwanaume,kusikiliza maagizo yake na kuyafanyia utekelezaji bila kuhoji maswali yasiyo ya lazima,kuwa msikilizaji mzuri na sio mzinguaji au mpinzani, kuwa mshirika na sio hasimu, hivi vyote kwao hudhania ni option kuvifanya kwa mwanaume.

Wao kuvifanya hivi ni hadi pale ambapo wanataka kupata kitu kwa mwanaume na ndipo huvaa usanii kama vile Kajala, Wema sepetu au irene Uwoya anavyoigiza kwenye bongo movie kuwa ni mke mwema asiyejua mwanaume mwingine nje ya mume wake.

Kwao kumtii mwanaume na kumpa heshima kama kiumbe waliyezidiwa nae hufanyika katika mazingira ya mali,wadhifa/cheo, na fedha kumzidi nje ya hapo watatumia nguvu nyingi kuonyesha mwanaume kuwa wao ni sawa au zaidi yake.

Kuwa fukara na mkeo miaka 5 utaona rangi zake zote. Ghafla pata contract ya milioni 300 na nyingine tofauti zikianza kuingia juu ya hiyo ya milioni 300 uone namna ghafla huyu mwanamke atakuwa mnyenyekevu,atakuwa na hofu ya kukukwaza, atatetemeka akisikia sauti yako na atakuwa analazimisha ukaribu na wewe kitandani.

Hii ikupe picha kuwa mwanamke kwake kuheshimu mwanaume huona ni option ambayo anaweza kuamua kuifanya pale atakapoona inafaa au anataka kufanya ili kupata kitu fulani.

Upande wa pili wanawake huamini mwanaume kuwapa matunzo,mali,fedha na hadhi ya mke ni jambo la lazima na bila hivyo ni bora uhusiano uvunjwe.

Leo hii mahusiano mengi yamevunjika kwasababu wanawake hawakupewa pesa wanazotaka, hawakupewa mali walizogombania. Kwao hivi vitu huamini wanaume hawana option ila kuwapa. Yaani mwanamke anaweza yeye akawa na milioni 5 wewe una milioni moja,akaona yeye ni lazima wewe umpatie sehemu ya pesa yako ambayo ni aslimia ndogo sana ya pesa aliyonayo ambayo ni nyingi kukuzidi na akaamini kuwa hauna option zlnyingine nje ya kumpatia alichotaka (ujinga wa karne).

Yeye ataona pesa zake ana option ya kukupa kama utampa zaidi au asikupe ila wewe hata kama hatakupa zaidi wala hatakupa chochote hauna option ila kumpatia ndio maana anataka ni lazima umpatie sababu haamini kuwa una option nyingine nje ya kumpa hiyo hela anayotaka.

Hii glorification ya tabia mbaya ya ubinafsi ifikie hatua ikemewe. Tukemee tabia mbaya zinazopewa jina la "ndivyo tulivyo".
 
Maamuzi ni ya mtu binafsi ujue mkuu.
Kuna ndugu yangu huwa anatumia hadi mifano ya jogoo kujustify upumbavu wake.
Utamsikia ananiambia mdogo wangu unadhani jogoo anapomwagiwa mchele kisha akaanza zile pigo za kutanua mabawa ili majogoo wengine wasile huwa anataka kula mchele wote peke yake?
Unaweza kuta akala punje kadhaa kisha mchele wote wakala majike anaowataka.
Huwa namtazama sana kisha nasikitikia rohoni tu.
Kuna wanaume wamezaliwa katika jamii duni zinazomuembrace sana mwanamke hawatatuelewa kamwe.
Zaidi watatuona kama vile hatuna pesa so tunatafuta escape zone.
Ila uhalisia ni kwamba mwanaume thabiti anaejitambua huwa hatoi pesa zake hovyo kwenda kwa yeyote hata kama ni mama
Huwa nikisikia kijisababu ambacho hakina mashiko nampa ahadi tu kuwa nitamuangalizia ndio imetoka hivyo.
Wanaume tunawajibika asilimia 100 kwaajili ya watoto wetu tu na sio mwingine yeyote yule.
Na watoto wenyewe ni wale tunaoona wana elements za maukoo yetu tu.
Hatutaki kusikia story mara mtoto ni mtoto sijui kila kitu karithi kwa mama yake.
Yaani arithi sura miguu mikono bichwa masikio hadi tabia kwa mama yake inawezekana vipi hiyo hapo ni kwamba hujamuona baba wa huyo mtoto ila ukimuona tu lazima utanotice kuwa either wamefanana komwe au miguu au mikono au tabia. Wewe haupo humo.
Nini maana ya mbegu zako halafu huna hata kimoja unachofanana na watoto wako?
Unakuta vyakula fulani huli matoto yenyewe yanaswaga twende na hujafanana nao hata kidogo.
So wanawake wanatuchukulia negatively sana when it comes interms of humanity beyond finance.
Yaani tukiwa hatuna pesa wanatuchukulia kama wanyama fulani hivi tunaopishana road.
Na ukiwa nazo halafu ukawafungia vioo wasipate upenyo wa kutapanya hizo pesa zako aisee wanakuona kama nuksi hivi yaani wana tamaa hadi ya kuweza kukuua kisa pesa na mali ulizotafuta wewe na kipindi hicho walikuwa wakiishi whore phase huko.
Wanaume tuamke aisee najua ni ngumu kutokana na wanaume wengi wanatoka katika jamii duni mno zenye maarifa finyu juu ya wanawake.
 
Ukitazama kwenye mahusiano ya watu wengi utagundua kuwa wanawake hudhania kumtii mwanaume,kusikiliza maagizo yake na kuyafanyia utekelezaji bila kuhoji maswali yasiyo ya lazima,kuwa msikilizaji mzuri na sio mzinguaji au mpinzani, kuwa mshirika na sio hasimu, hivi vyote kwao hudhania ni option kuvifanya kwa mwanaume.

Wao kuvifanya hivi ni hadi pale ambapo wanataka kupata kitu kwa mwanaume na ndipo huvaa usanii kama vile Kajala, Wema sepetu au irene Uwoya anavyoigiza kwenye bongo movie kuwa ni mke mwema asiyejua mwanaume mwingine nje ya mume wake.

Kwao kumtii mwanaume na kumpa heshima kama kiumbe waliyezidiwa nae hufanyika katika mazingira ya mali,wadhifa/cheo, na fedha kumzidi nje ya hapo watatumia nguvu nyingi kuonyesha mwanaume kuwa wao ni sawa au zaidi yake.

Kuwa fukara na mkeo miaka 5 utaona rangi zake zote. Ghafla pata contract ya milioni 300 na nyingine tofauti zikianza kuingia juu ya hiyo ya milioni 300 uone namna ghafla huyu mwanamke atakuwa mnyenyekevu,atakuwa na hofu ya kukukwaza, atatetemeka akisikia sauti yako na atakuwa analazimisha ukaribu na wewe kitandani.

Hii ikupe picha kuwa mwanamke kwake kuheshimu mwanaume huona ni option ambayo anaweza kuamua kuifanya pale atakapoona inafaa au anataka kufanya ili kupata kitu fulani.

Upande wa pili wanawake huamini mwanaume kuwapa matunzo,mali,fedha na hadhi ya mke ni jambo la lazima na bila hivyo ni bora uhusiano uvunjwe.

Leo hii mahusiano mengi yamevunjika kwasababu wanawake hawakupewa pesa wanazotaka, hawakupewa mali walizogombania. Kwao hivi vitu huamini wanaume hawana option ila kuwapa. Yaani mwanamke anaweza yeye akawa na milioni 5 wewe una milioni moja,akaona yeye ni lazima wewe umpatie sehemu ya pesa yako ambayo ni aslimia ndogo sana ya pesa aliyonayo ambayo ni nyingi kukuzidi na akaamini kuwa hauna option zlnyingine nje ya kumpatia alichotaka (ujinga wa karne).

Yeye ataona pesa zake ana option ya kukupa kama utampa zaidi au asikupe ila wewe hata kama hatakupa zaidi wala hatakupa chochote hauna option ila kumpatia ndio maana anataka ni lazima umpatie sababu haamini kuwa una option nyingine nje ya kumpa hiyo hela anayotaka.

Hii glorification ya tabia mbaya ya ubinafsi ifikie hatua ikemewe. Tukemee tabia mbaya zinazopewa jina la "ndivyo tulivyo".
Kwa mujibu wa Biblia takatifu.. Mwanaume ameumbiwa kumpenda mkewe.. Na mke ameumbiwa kumheshimu mumewe
Tafsiri yake ni nini? Penye upendo wa kweli pana heshima na penye heshima ya kweli pana upendo... Hivyo basi msingi wa mahusiano ni mambo mawili makuu. UPENDO na HESHIMA
 
Alijiona Hana thamani baada ya miaka Tisa ya kuishi na mumewe kisa ujio wa mama mkwe,akabadili tabia na kuanza kutoka na kijana mdogo plus Mzee was makamo na kiwasingizia ujauzito wote wawili Kwa wakati tofauti,

Cha ajabu haoni kama ni ishu anataka mumewe aone kawaida na Amjali tu hivyo hivyo kana kwamba hakujatokea lolote!

A dead man walking in the street I can conclude!!
 
Kwa mujibu wa Biblia takatifu.. Mwanaume ameumbiwa kumpenda mkewe.. Na mke ameumbiwa kumheshimu mumewe
Tafsiri yake ni nini? Penye upendo wa kweli pana heshima na penye heshima ya kweli pana upendo... Hivyo basi msingi wa mahusiano ni mambo mawili makuu. UPENDO na HESHIMA
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom