kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
Samia atawale hadi hadi 2045.Wakuu mko salama?
Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence)
Nini maana ya Queefing??
ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba.
Utajiuliza inawezekanaje ?? ni hivi hewa huingia ndani uke kutokana na baadhi ya style za tendo au kulegea kwa misuli ya uke sasa baada ya muda hewa hiyo hutoka na kutoa hiyo sauti
Kwa ujumla, queefing ni hali ya kawaida haina harufu na haina madhara kiafya.
.JE MARA YAKO YA KWANZA KUSIKIA HIYO SAUTI ULIWAZA NINI tupe maoni yako🤔
Hapa nipo njian narudi nyumbani kutoka kazini!Tafuta kazi ufanye mkuu
💯Wanawake huwa wanahis aibu sana wakisikia sauti hyo
Mbona ishaanza kuwa km jiwe gizani?Samia atawale hadi hadi 2045.
🤣🤣🤣🙌🙌🔥🔥Sasa si nyau huyo lazima alie 😹😹
AiseeWakuu mko salama?
Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence)
Nini maana ya Queefing??
ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba.
Utajiuliza inawezekanaje ?? ni hivi hewa huingia ndani uke kutokana na baadhi ya style za tendo au kulegea kwa misuli ya uke sasa baada ya muda hewa hiyo hutoka na kutoa hiyo sauti
Kwa ujumla, queefing ni hali ya kawaida haina harufu na haina madhara kiafya.
.JE MARA YAKO YA KWANZA KUSIKIA HIYO SAUTI ULIWAZA NINI tupe maoni yako🤔
Exactly 🤗🤗MUNGU FUNDI.
Tumeambiwa lovely Emmy' ni punga unakula mapunga
Kwann?Mbona ishaanza kuwa km jiwe gizani?
Kuna msukuma punga, maake ni baghosha 🤔🤔Tumeambiwa lovely Emmy' ni punga unakula mapunga
USSR