Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

Wakuu mko salama?

Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence)

Nini maana ya Queefing??
ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba.

Utajiuliza inawezekanaje ?? ni hivi hewa huingia ndani uke kutokana na baadhi ya style za tendo au kulegea kwa misuli ya uke sasa baada ya muda hewa hiyo hutoka na kutoa hiyo sauti

Kwa ujumla, queefing ni hali ya kawaida haina harufu na haina madhara kiafya.

.JE MARA YAKO YA KWANZA KUSIKIA HIYO SAUTI ULIWAZA NINI tupe maoni yako🤔
Unaoneka uke wako unatoa mlio njoo nikutoe mlio basi kwenye uke wako ili ulie bwabwaaa
 
Wakuu mko salama?

Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence)

Nini maana ya Queefing??
ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba.

Utajiuliza inawezekanaje ?? ni hivi hewa huingia ndani uke kutokana na baadhi ya style za tendo au kulegea kwa misuli ya uke sasa baada ya muda hewa hiyo hutoka na kutoa hiyo sauti

Kwa ujumla, queefing ni hali ya kawaida haina harufu na haina madhara kiafya.

.JE MARA YAKO YA KWANZA KUSIKIA HIYO SAUTI ULIWAZA NINI tupe maoni yako🤔
Unaweza ukataja labda ni staili gani zinasababisha hiyo hali?
 
Sasa nimeelewa kwanini Unaweza ukamtongoza demu aakaanza kukuzungusha kukukubalia ukadhani anaringa kwasababu ni mzuri kumbe ana hilo tatizo anaona aibu usigundue.
 
Back
Top Bottom