Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

Kwaiyo kumbe kuna ringtone mbalimbali, kutokana na aina ya staili na papuchi ilivyo😳
Ndiyo maana yake… ukiwa mzoefu utajua tu… we endelea kula mzigo, hizo ni kelele za Chura, hazimzui mtu kuchota maji kisimani…
 
Embu ifungue iyo code mkuu, tumpe Mwenye nyumba🤣🤣
Alimaanisha kwamba watanzania wanapoteza muda mwingi sana kwenye mambo ya hovyo ila kwenye mambo ya msingi kama ya siasa/kujenga nchi hawana muda nayo.
Kutokana na hilo inakatisha tamaa kuhusu mabadiliko yoyote ya nchi kwa hiyo kitaendelea kutawala chama kilekile na Rais yuleyule kwa sababu vijana akili zao zimelala.
 
😹😹😹 Nikiwaambia wasikae chuma mboga wabishi, waache minyau izidi kuliwa..!!
SASA chuma mboga si ndio ya asili....yaaan Kama mbuzi vile si unajua binadam wakale alikuwa anatembea Kama mbuzi
 
Wakuu mko salama?

Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence)

Nini maana ya Queefing??
ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba.

Utajiuliza inawezekanaje ?? ni hivi hewa huingia ndani uke kutokana na baadhi ya style za tendo au kulegea kwa misuli ya uke sasa baada ya muda hewa hiyo hutoka na kutoa hiyo sauti

Kwa ujumla, queefing ni hali ya kawaida haina harufu na haina madhara kiafya.

.JE MARA YAKO YA KWANZA KUSIKIA HIYO SAUTI ULIWAZA NINI tupe maoni yako🤔
Nilikuwa na pisi yangu moja shombeshombe halafu hii hali ikatokea,nikajua amejamba nilipomuuliza akasema sio hata yy anashangaa
 
Kwa niaba ya Monetary doctor said naomba nikutake radhi mkuu, Kwa kukuweka kwenye kundi la watoa milio
kitu ambacho hukijui na kinaenda kukuingiza matatizoni dhidi yangu ni kuniambia mimi ni mwanamke.
 
Wakuu mko salama?

Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence)

Nini maana ya Queefing??
ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba.

Utajiuliza inawezekanaje ?? ni hivi hewa huingia ndani uke kutokana na baadhi ya style za tendo au kulegea kwa misuli ya uke sasa baada ya muda hewa hiyo hutoka na kutoa hiyo sauti

Kwa ujumla, queefing ni hali ya kawaida haina harufu na haina madhara kiafya.

.JE MARA YAKO YA KWANZA KUSIKIA HIYO SAUTI ULIWAZA NINI tupe maoni yako🤔
Dogy style , uyo manzi alikua anajamba balaa. Sema ilikua ni pisi kali
 
SASA chuma mboga si ndio ya asili....yaaan Kama mbuzi vile si unajua binadam wakale alikuwa anatembea Kama mbuzi
Mhmm!! Hiyo hapana ya asili cockroach die tu 😹😹
 
Back
Top Bottom