Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

Wakuu mko salama?

Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence)

Nini maana ya Queefing??
ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba.

Utajiuliza inawezekanaje ?? ni hivi hewa huingia ndani uke kutokana na baadhi ya style za tendo au kulegea kwa misuli ya uke sasa baada ya muda hewa hiyo hutoka na kutoa hiyo sauti

Kwa ujumla, queefing ni hali ya kawaida haina harufu na haina madhara kiafya.

.JE MARA YAKO YA KWANZA KUSIKIA HIYO SAUTI ULIWAZA NINI tupe maoni yako🤔
Dokta ikiwa katika harakati za dog style amejamba shida inakua ni nini mkuu. ?
 
Dokta ikiwa katika harakati za dog style amejamba shida inakua ni nini mkuu. ?
Mlio wa kama kujamba (unaoitwa "queefing") wakati wa tendo la ndoa, hasa kwenye mikao kama dog style, unasababishwa na hewa kuingia ndani ya uke halafu ikisukumwa nje inatoa huo mlio. Sio tatizo la kiafya wala haimaanishi kuna kitu kibaya kimetokea. Ni jambo la kawaida na hutokea zaidi kwenye mikao ambayo hewa inaweza kuingia kwa urahisi.
 
Tafta hela maskini ww
20250814_133943.jpg
 
Hiyo sauti hutokea sana hasa wakati wa dog style huwa naipenda sana
Same to me na demu awe amezifunga shanga kiunoni halafu awe ana bonge ya chura vile nimezishikilia shanga nakoboa kweli kweli 😎
 
Kuna mmoja nae anatoa saut ila namuandaa kisaikolojia tu kuwa asiwaze...mara nying hutokea pale umeisugua kwa muda mrefu sanaa..ila ukubwa wa papa nao unachangia
 
Kuna mmoja nae anatoa saut ila namuandaa kisaikolojia tu kuwa asiwaze...mara nying hutokea pale umeisugua kwa muda mrefu sanaa..ila ukubwa wa papa nao unachangia
Kwaiyo kumbe hii kitu inaonekana kuwatesa wenye Hali hiyo?
 
Back
Top Bottom