Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?

Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?

Sio kisingizio!!! Wengine tumesoma boarding kuanzia primary hadi chuo na bado tulipata mda wa kujifunza kupika! Mzazi wake nae alimuendekeza... Yaani mie mama ilikua nikirudi likizo nanyoosha miguu siku ya kwanza tu, siku inayofuata nakabidhiwa jiko... Awepo mdada msaidizi au asiwepo kazi kwenda mbele.
Inaweza kuwa alikuwa anaambiwa mtoto katoka shule aachwe likizo apumzike
 
Binafsi km hujui kupika sitakula msosi wko hata upike nini.Labda ujifunze, ILA ukijidai kichwa ngumu utakuwa unajipikia na Kula mwenyew kila siku!!!
 
Hao ndio wale utakuta hata chai hajui kupika [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15]......Ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu...Kupika nako ni shida tena kwa mwanamke??
 
Hahahaa sio wewe joanah unajarib kujificha kupitia kivuli cha kua ni rafik yako wakati comment zako zinaonesha kua ni wewe
Hapana sio mimi

Alafu mkuu lengo kubwa la hii thread ni kujikumbusha wajibu wa mwanamke katika ndoa maana wanawake walishajisahaulisha kabisa na mahouse girls. . .only that!
 
Sasa kama hujui kupika unaolewa ukafanye nini kwenye ndoa.

Unategemea kuwalisha familia yako chakula cha mgahawani au?

Asee kupika ndio inatakiwa iwe credential namba moja kwemye resume yako ya ndoa.

Ila wakuu hamuwezi amini kuna wanawake hata chai hawajui kuchemsha.

Wanaume pia tunatakiwa kujua kupika, ina faida nyingi sana kujua kupika, siku mamiloo kachoka unaingia jikoni unalirusha. Mimi napika balaaa mpaka maza angu huwa nikienda home anataka mimi tu nipike, seminary niliyosoma ndio imenipa uzowefu kwakuwa tulikua na zamu ya kupika na kuchoma mikate, imagine unatakiwa alone upike chakula cha watu kama 40 including rector na ma padre wengine na siku kunaweza tokea ugeni hata bishop kaja mwenye zamu ndio unapika na lazima utoe kiwango kama five star hotel. Asante shule, nimejifunza mengi
 
Hapana sio mimi

Alafu mkuu lengo kubwa la hii thread ni kujikumbusha wajibu wa mwanamke katika ndoa maana wanawake walishajisahaulisha kabisa na mahouse girls. . .only that!
Nikweli wanawake sometimes tunajisahau sana.. Niraha sana kumpikia mume yan
 
Hao ndio wale utakuta hata chai hajui kupika [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15]......Ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu...Kupika nako ni shida tena kwa mwanamke??
Inaonekana ni shida sana kwetu
Ila nafikiri taratibu tunajifunza
 
Madingi wengine huangalia msosi muonekano wake na kujua hakikupikwa na mkewe anasusa kula. Mie nilikuwa nashangaa sana huyu hakuwepo home anajuaje mkewe hakupika!? Lol!

Hii ni Africa dada! Jukumu la mke ukiacha na kutoa unyumba inabidi ajue kumtunza mume... Aweze kumpikia, kumfulia na ata kumfanyia usafi etc. Na mwanamke hadi unafika uri wa kuolewa hujui kupika ni picha mbaya, inaonesha ulivyo mzembe. Yaani ata kama mimi mwanaume, nakurudisha kwenu aisee!!!
 
Hahahaahhahahaahahahahaha uwiii! Hio inatokea sana sana kwa waliolelewa lele mama.. M
Wapo sana, nawaonaga mim. Mdada mrembo akitoka umo ndani alivotupia mbona had raha.... Sasa aje akupikie wali tu na nyama, lol aibu, ubwabwa umekumbatiana hatari, uo mchuzi mwekunduuuuuu. Khaa jamani!!!!
 
Back
Top Bottom