Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?

Nawish kungekuwa na shule nyingi za namna hiyo
 
Madingi wengine huangalia msosi muonekano wake na kujua hakikupikwa na mkewe anasusa kula. Mie nilikuwa nashangaa sana huyu hakuwepo home anajuaje mkewe hakupika!? Lol!
Hahaha! Kweli kabisa. Yaani adi saivi mzee anakijua chakula cha mama!!!
 
Reactions: BAK
Aisee kwa upande wangu kama hujui kupika hautopata hata fursa ya kuolewa then upewe talaka, Tutaishia kwenye 'uchumba' sugu
Ndio umuhimu wa uchumba . kuchunguza kwanza ukiridhika ndoa
Sasa best yangu sijui uchumba wao ulipita pitaje
 
Ndio umuhimu wa uchumba . kuchunguza kwanza ukiridhika ndoa
Sasa best yangu sijui uchumba wao ulipita pitaje
Uchumba wa kilokole!!! Ndo ndugu yangu eti adi anaolewa hakuwai kufika kwa mume!!! Walikua wanakutania kanisani sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni njia nzuli ila Ndo hawa wanakutana na madudu kwenye ndoa.
 
Mfano unatoka kazini umechoka vibaya sana... Na njaa juu...

Unategemea home utakuta juice safi... Chakula kizuri... Lakini badala yake unakuta maharage yaliungua.. Wali mbichi umejaa mafuta... Maji ya kunywa yananuka moshi wa kuni... Hivi kweli utakuwa na hamu hata na huyo mwanamke...
 
Aisee mimi nilikuwa nashangaa sana huyu dingi hata hajatia mdomoni kishastukia msosi lol! Ila angetia mdomoni nisishengaa maana mapishi ya maza si ya kawaida unaweza ukatafuna vidole kwa utamu.

Hahaha! Kweli kabisa. Yaani adi saivi mzee anakijua chakula cha mama!!!
 
Nawish kungekuwa na shule nyingi za namna hiyo
Siku hizi hakuna asee. Japo mimi sio long time sana nimemaliza A'level 2013 ila pale skuli hakuna huo utamaduni tena wa kujipikia.

Mashule ya siku hizi wanafunzi hadi wa level ya sekondari wanafuliwa hadi nguo za ndani, dah noma.
 
Usimpige bana ongea nae mwelekeze vile unataka

Nina binamu yangu aliolewa mwaka 2008,alikua hajui kufua wala kupika. Alidumu kwenye ndoa yake kwa week 5 tu. Week 4 honeymoon,week moja nyumbani,hapa ndio alitimuliwa mpaka leo hii.
 
Uchumba wa kilokole!!! Ndo ndugu yangu eti adi anaolewa hakuwai kufika kwa mume!!! Walikua wanakutania kanisani sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni njia nzuli ila Ndo hawa wanakutana na madudu kwenye ndoa.
Yeye ni muslim na process zote muhimu kabla ya ndoa zilifanyika
Sasa nashangaa imekuwaje mume kaja kugundua tatizo baada ya ndoa
 
Kweli lazima uwe stressed
Ila kasinde si yupo vizuri?
 
Yeye ni muslim na process zote muhimu kabla ya ndoa zilifanyika
Sasa nashangaa imekuwaje mume kaja kugundua tatizo baada ya ndoa
Inatokea sana! Mimi kuna jirani alirudisha kwao nae... Ila mume alimlipia kwenye chuo cha mapishi akamwambia akihitimu ndo arudi kwake.
 
Inatokea sana! Mimi kuna jirani alirudisha kwao nae... Ila mume alimlipia kwenye chuo cha mapishi akamwambia akihitimu ndo arudi kwake.
Maskini . .
Kama namuona mdada wa watu
 
Nikweli wanawake sometimes tunajisahau sana.. Niraha sana kumpikia mume yan
ila kwa mwanamke ambae anajua kupika na kupakua chakula cha usiku vizuri kama wewe nafikiri sula la kujua kupika siyo issue/siyo la msingi sana![emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…