Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Seriously????!!!! UwiiiiiiiiiiiiNdio tayari kashapoteza ndoa ya kwanza [emoji17]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seriously????!!!! UwiiiiiiiiiiiiNdio tayari kashapoteza ndoa ya kwanza [emoji17]
Nawish kungekuwa na shule nyingi za namna hiyoSasa kama hujui kupika unaolewa ukafanye nini kwenye ndoa.
Unategemea kuwalisha familia yako chakula cha mgahawani au?
Asee kupika ndio inatakiwa iwe credential namba moja kwemye resume yako ya ndoa.
Ila wakuu hamuwezi amini kuna wanawake hata chai hawajui kuchemsha.
Wanaume pia tunatakiwa kujua kupika, ina faida nyingi sana kujua kupika, siku mamiloo kachoka unaingia jikoni unalirusha. Mimi napika balaaa mpaka maza angu huwa nikienda home anataka mimi tu nipike, seminary niliyosoma ndio imenipa uzowefu kwakuwa tulikua na zamu ya kupika na kuchoma mikate, imagine unatakiwa alone upike chakula cha watu kama 40 including rector na ma padre wengine na siku kunaweza tokea ugeni hata pishop kaja mwenye zamu ndio unapika na lazima utoe kiwango kama five star hotel. Asante shule, nimejifunza mengi
Hahaha! Kweli kabisa. Yaani adi saivi mzee anakijua chakula cha mama!!!Madingi wengine huangalia msosi muonekano wake na kujua hakikupikwa na mkewe anasusa kula. Mie nilikuwa nashangaa sana huyu hakuwepo home anajuaje mkewe hakupika!? Lol!
Ndio umuhimu wa uchumba . kuchunguza kwanza ukiridhika ndoaAisee kwa upande wangu kama hujui kupika hautopata hata fursa ya kuolewa then upewe talaka, Tutaishia kwenye 'uchumba' sugu
Na kupika ni jukumu mojawapo la mke kwa mumewe!Kumpikia umpendaye inaonekana ni raha kweli kweli
Ulipita ki mwendo kasi, haukuhakikiwaNdio umuhimu wa uchumba . kuchunguza kwanza ukiridhika ndoa
Sasa best yangu sijui uchumba wao ulipita pitaje
Uchumba wa kilokole!!! Ndo ndugu yangu eti adi anaolewa hakuwai kufika kwa mume!!! Walikua wanakutania kanisani sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio umuhimu wa uchumba . kuchunguza kwanza ukiridhika ndoa
Sasa best yangu sijui uchumba wao ulipita pitaje
Hahaha! Kweli kabisa. Yaani adi saivi mzee anakijua chakula cha mama!!!
Siku hizi hakuna asee. Japo mimi sio long time sana nimemaliza A'level 2013 ila pale skuli hakuna huo utamaduni tena wa kujipikia.Nawish kungekuwa na shule nyingi za namna hiyo
Usimpige bana ongea nae mwelekeze vile unataka
Yeye ni muslim na process zote muhimu kabla ya ndoa zilifanyikaUchumba wa kilokole!!! Ndo ndugu yangu eti adi anaolewa hakuwai kufika kwa mume!!! Walikua wanakutania kanisani sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni njia nzuli ila Ndo hawa wanakutana na madudu kwenye ndoa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli lazima uwe stressedMfano unatoka kazini umechoka vibaya sana... Na njaa juu...
Unategemea home utakuta juice safi... Chakula kizuri... Lakini badala yake unakuta maharage yaliungua.. Wali mbichi umejaa mafuta... Maji ya kunywa yananuka moshi wa kuni... Hivi kweli utakuwa na hamu hata na huyo mwanamke...
Inatokea sana! Mimi kuna jirani alirudisha kwao nae... Ila mume alimlipia kwenye chuo cha mapishi akamwambia akihitimu ndo arudi kwake.Yeye ni muslim na process zote muhimu kabla ya ndoa zilifanyika
Sasa nashangaa imekuwaje mume kaja kugundua tatizo baada ya ndoa
ila kwa mwanamke ambae anajua kupika na kupakua chakula cha usiku vizuri kama wewe nafikiri sula la kujua kupika siyo issue/siyo la msingi sana![emoji1]Nikweli wanawake sometimes tunajisahau sana.. Niraha sana kumpikia mume yan