Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?

Wengi wa watoto wa kishua kupika hawajui na wengi wanazani wataishi maisha ya kuagiza kila kitu na kununua misosi hadi ndani ya ndoa
 
Hapana......

mwanamke haachwi kwa kutojua kupika , hata kama katokanga kwao hajui pika akija hapo kwako atajua tuu, ni kama kumfundisha fundi umeme kuweka bulb kwa Dari yani kwao kupika IPO damuni

√√Hata Kuchemsha Chai nako ni Kupika , Ladies yupi asiwezee kufanya hivyoo
 
Itakua alimpikia chapati ngumu kuliko maisha yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwakweli mwanamke kutokujua kupika ni aibu aisee, tunakazana kujipara tu ukija jikoni hamna kitu bado tuna taka kuolewa acha tuachwe tu kama hatutaki kujifunza kupika.
 
nilikuwa nasubiri nione mwisho umemaliziaje ili nije spidi pm!

Hapo pa ndani ya ndoa nimeishiwa nguvu kabisa😀😀😀
 
Hapana sio mimi

Alafu mkuu lengo kubwa la hii thread ni kujikumbusha wajibu wa mwanamke katika ndoa maana wanawake walishajisahaulisha kabisa na mahouse girls. . .only that!
sawa ila kwa mwanamke wa kuolewa ni bora hata asijue vingine vyote ila ajue kupika sababu hiyo ndio itamfanya aheshimike kama mama
 
nilikuwa nasubiri nione mwisho umemaliziaje ili nije spidi pm!

Hapo pa ndani ya ndoa nimeishiwa nguvu kabisa😀😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] walishawai wajanja wenzio.. Pole
 
kwakweli mwanamke kutokujua kupika ni aibu aisee, tunakazana kujipara tu ukija jikoni hamna kitu bado tuna taka kuolewa acha tuachwe tu kama hatutaki kujifunza kupika.
Na mi nasema MUACHWE TU maana tumechoka sasa ( in Mizengo's voice)
 
Taratibu mkali wangu, usije pangiwa zamu. Hawa viumbe wana mazoea ya ajabu, akiona upo simple namna hiyo atakuwa anachoka kila siku. Hayo makeke waachie mabishop huko seminary.

Mimi sijaoa ila geto akiingia demu huwa sihitaji hata kuosha kijiko.

Nikitaka kuoa interview no.1 itakuwa ni jikoni...
 
Mwanamke kutokujua kupika ni sawa na ulemavu.
 
Japo sio kigezo cha ndoa lakini mwanamke unashindwaje kupika ? Kuvua , kufagia nk, nadhani mwanamke ambaye hawezi kupika na vitu kam hivi kiukweli hafai kuwa mke, hata mimi namuacha tu
 
Sihitaji mwanamke anaejua kupika, kufua au kuosha vyombo hivyo ni vitu vya ziada ingawa muhimu ila sio lazima.
Nahitaji mwenza maishani, pia kuna ndoa na Ndoa ina tendo lake linaitwa tendo la ndoa ni muhimu na lazima Sana likikosekana hata Kanisa linaibatilisha/vunja Ndoa Hiyo lakini huwezi toa sababu Za kitoto eti Nampa talaka mke wangu hajui kupika utakua hujatenda vyema.
Tofautisha ndoa na ajira ya upishi.
Nikihitaji mpishi nitaoa nitaajiri mpishi kwasababu kupika ni fani na vyakula vyote ninavyopenda kula ninajua kuvipika barabara.
Nitakapohitaji kuoa mambo ya kupika mtu anaweza kujifunza ila hawezi kujibadili tabia yake kama si njema kwa mtazamo ninaotaka Mimi na yeye tuujenge huenda tusidumu sana. Ingia kwenye ndoa na mtu anaeweza kupoke mrejesho (feedback) na kufundishika
 
Reactions: EMT
Umeongea ukweli mumy! Kwani wadada wa mjini walio wengi wanajua chakula ni kimoja tu hicho cha chumbani kumbe wanajidanganya na hivyo vingine hawana habari navyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…