Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Eti hujawah kuona umuhimu wa kupika,nyie ndo mtakuja kusumbua ktk ndoa zenu.By the way km mke hajui kupika nadhani njia nzuri ni kumfundisha.What's up wakuu
Mko bwax?
Basi sawa(in chief engineer's voice)
Kwenu wakuu mliofanikiwa kuoa ama kuolewa ama wenye experience na hizi issues
Hivi ni muhimu kiasi hiko kwa mwanamke kufahamu namna ya kupika chakula?Leo katika stories za hapa na pale na my babes tukajikuta katika hii mada ya upishi
Kuna best yangu(kanizidi kama miaka minne hivi) aliolewa mwaka jana na ana miezi mitano tu katika ndoa yake . .nimepata ubuyu kuwa sasa hivi yupo kwao na talaka juu eti kisa tu alikuwa hajui kupika
Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa kujua kupika
Asa wakuu hivi suala la kutojua kupika tu linaweza kufanya mtu akapewa talaka?
Naombeni kufahamishwa maana nishaanza kuogopa huku
Sasa huyo aliyepewa talaka labda jamaa alijaribu kumfundisha afu akawa mtata au unakuta na jamaa mwenyewe hajui kupika,na kuna baadhi ya jamii kwao talaka ni kufumba na kufumbua