La mujar
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,586
- 1,790
Madarasa yapo mengi na ni vizur kulifanyia kazi mapema maana ushajua udhaifu wakoCha usiku kitamu
Muhimu kujua
Alafu sio kama sijui kupika chakula kabisa ila nahisi sipo qualified enough
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madarasa yapo mengi na ni vizur kulifanyia kazi mapema maana ushajua udhaifu wakoCha usiku kitamu
Muhimu kujua
Alafu sio kama sijui kupika chakula kabisa ila nahisi sipo qualified enough
Alikuwa busy sana na shuleKwanini asijue kupika?
Kutokujua kupika kwa mwanamme au mwanamke ni dalili za uzembe,uvivu,ugoigoi nk.
Nashukuru sana kwa haya ya msingiMwanamke ndani ya nyumba mbali na yote basi ufanikiwe kuwa nayo haya matatu makubwa.... Ulimi unaotoa maneno matam kwa mmeo, ujue kumpikia mumeo chakula kizur kuijenga afya yake, na tatu chakula cha chumbani(kitandani) nacho ujue kukipika na kupakua vema. Nimekumegea tu ayo kwa uzoefu wangu wa miaka kadhaa ndani ya ndoa.
usijali olewa na mimi tutakua tunakula hotelini hata watoto wakizaliwa tutakua tunakula nao hoteliniWhat's up wakuu
Mko bwax?
Basi sawa(in chief engineer's voice)
Kwenu wakuu mliofanikiwa kuoa ama kuolewa ama wenye experience na hizi issues
Hivi ni muhimu kiasi hiko kwa mwanamke kufahamu namna ya kupika chakula?Leo katika stories za hapa na pale na my babes tukajikuta katika hii mada ya upishi
Kuna best yangu(kanizidi kama miaka minne hivi) aliolewa mwaka jana na ana miezi mitano tu katika ndoa yake . .nimepata ubuyu kuwa sasa hivi yupo kwao na talaka juu eti kisa tu alikuwa hajui kupika
Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa kujua kupika
Asa wakuu hivi suala la kutojua kupika tu linaweza kufanya mtu akapewa talaka?
Naombeni kufahamishwa maana nishaanza kuogopa huku
Hayohayo baadhi ndo ya kukazia dogo..... All the bestIla sio kama sijui kabisa ila ni baadhi tu
Unaenda tu kwenu, au mwenzio kila akirud kashiba. Mbona utajifunza mwenyew tuNasikia Wanaume wanapendaga sana kula chakula alichopika mkewe.. Sasa asipojua kupika tena hapo sijui itakuaje yani !
Sio kisingizio!!! Wengine tumesoma boarding kuanzia primary hadi chuo na bado tulipata mda wa kujifunza kupika! Mzazi wake nae alimuendekeza... Yaani mie mama ilikua nikirudi likizo nanyoosha miguu siku ya kwanza tu, siku inayofuata nakabidhiwa jiko... Awepo mdada msaidizi au asiwepo kazi kwenda mbele.Alikuwa busy sana na shule
Kasoma boarding schools. . .kamaliza chuo ndoa ikafuata ,hakuwa na muda wa kujifunza kazi za nyumbani