Mwanamke Kutoka Kenya Akamatwa Na Kilo 1.7 Za Kokeine Nchini India

Mwanamke Kutoka Kenya Akamatwa Na Kilo 1.7 Za Kokeine Nchini India

Juzi kule vietnum magreth naye wa Kenya alikamatwa na tayar Kesha nyongwaa
Wakenya wanajiamin kias gan ivi
Watu wanataka kuendesha range rover na v8 bwana....mishahara ya kawaida utaisho kukopa oya
 
Nilicho elewa kwa sasa KENYA ndio imekuwa ndio chochoro la kupitisha madaya
Kenya na Tz sio mbali
 
Umejuaje hawezi? Kwani huyo anayemiliki ni shetani na siyo binadamu? Na umejuaje kuwa fedha aliyotaja ndiyo aliyoahidiwa kweli?
Hakuna mtu anayemiliki huo uzito ambaye yuko tayari kujitoa muhanga.Ukimiliki huo uzito wewe ni bosi na huwezi risk your life,ndiyo maana wamiliki au mabosi siku zote hawakatwi kiraisi.Huyo katumwa na sumtime hajuwi hata thamani ya huo mzigo.
 
Hizi ni assumption zako. Mimi nimeshaona watu wenye mizigo mikubwa wakikamatwa wakiwa na mizigo yao.
 
Back
Top Bottom