Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?



Siku hizi tunaenda na Wakati. Mwanamke pia anaruhusiwa kutongoza kwani kupenda ni pande zote tuna kaugonjwa ka kupenda. Ukisubiri kutongozwa utazeeka na uzuri wako; Siku hizi tunajali KUNYEGEZANA

Tukumbuke kuwa "NYEGE NI KUNYEGEZANA"

MAPENZI ni KUKONYEZANA, MAPENZI ni KUTONGOZANA, MAPENZI ni KUKUNANA, MAPENZI ni..........



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 

kaka,kuna sehemu nimeandika KAMA HUYU DADA YUKO HIVYO KTK DUNIA YA KWELI!nadhani umenielewa sasa!

kingine,asante kwa ofa yako kwa Halima Mdee!mimi nina ndoa yangu yenye kila aina ya baraka!na hayo mambo ya kutongoza sipo kabisa mkuu hapa nachangia mada tu!
 
Hapana my ADI,

Marriage fever ikishaingia watu wanatongoza tongoza hovyo kujabu bahati zao..Wanafikia mahali pa kuamini kuwa mwenda bure si mkaa bure,

Babu DC!!

Babu DC... Asante kwa kunielewesha.... I thot a guy anakua more makini, more vigezo na more serious not to entertain mtongozo wa ovyo ovyo....
Really,

I would love to know something as sweet as this from Bibi DC...Bahati mbaya sie tulitafutiwa na wazazi!!

Kwa nini usimgawie kidogo FL1 ampelekee huyo dada anayeteseka kwa kukosa raha ya kuitwa my sweetie na dume???

Babu DC


hahaha.... DC I like your stlye.... hahaha.... but bahati mbaya nimekung'amua...lol... FL namtumia pm...
 
Unaona sasa, watu wote washanijua jina langu ni Natasha, na nilikuwa la 4 mwaka 1994.
Siri zote hadharani.

Nakuharibia kwenye kimbwa unachouza.

Kuna ubaya gani. Tena ni sifa kubwa kama ulitongozwa ukiwa darasa la nne.
You must been the luckiest one in the class.
Ukiniaharbia biashara ya puppy wangu itakula kwako kama BWM
Itabidi niende kwenye zile za jino kwa jino.
 


lol.... Asakute isije ikawa ndio ushaanza kwangu kijanja.....lol.... (I am unavailable:A S 13: ); Hivo ukitaka kujaribu, jaribu it is ok... kwa wengine....lol. Ila tu genuinely sikushauri. Na nakubaliana na justification yako of the rest of the post....
 
Ubarikiwe sana kama kwenye kutongoza haupo, ila ukumbuke kuna kutongozwa pia,......ila haishauriwi utembee na gari bila ya kuwa na spare Tyre! Stuka! maisha yenyewe haya yamekaa kitiming timing.
 
I know a lady who is over fifty and very attractive. In fact she knows how to keep herself attractive every day.


Tata nimekupata... ila ni wachache hufikiri hivo....
 
........Kuna mmoja aliwahi kuniambia am single & not searching, lakini nilivyopekuwa Encyclopedia yangu nikakutana na kipengele kisemacho always woman they mean yes when they NO!......... nadhani unajuwa kifuatacho ITV.
 
Kutongozwa siyo sifa wala deal, pili siyo lazima utongozwe ndiyo ujulikane unapendwa. Kuna mapenzi ya automatic mnajikuta mko kwenye mapenzi bila kutongozana.

Una sura mbaya, nzuri, ni tajiri, umesoma, hujasoma, mkaanga sumu, mcha mungu yote hayo kwenye mapenzi yako nje ya msitari.
 
Hii ni name calling ya wazi kabisa! we report abuse tu, anachapwa viboko 24... 12 siku ya kupigwa Ban, zingine anajua mwenyewe. lolest
As for the dog, naenda kufunga ile thread, nimesha mnunua.
Hahahaha Yaani hata kama mtu huna kesi utangenezewa moja
Tena ndani ya sredi ya Ashaa Dii
Haiwezekani. lazima nifanye pre-emptive strike.
Na mbwa wangu kudai umeshamnunua ni kama vile unataka nikupe kama rushwa usinipe ban.
Hapa lazima utaomba maandamano ya chadema.
 
Purply Teamo.... Hii post umeongea ya msingi na I have noted umeongea kwa mafilingi.... Bahati mbaya kitu ambacho chatusumbua ladies ni kuto jitambua, kuto jua tofauti of what is best for Us na what we want. Tunasahau kabisaaaa kua yale ambayo twataka sio lazima kua yatufaa katika maisha yetu. Morals nazo za changia saana tokana na kushuka kwake... Katika mambo mengine ambayo hunifanya ni Miss ya kale ni yale yalobadilika for the worse..... hapo nyuma ilikua kazi sana kumkuta mdada/mmama ku declare kwenye public kamzimia mwanaume fulani.... Ila sasa ni kama mzaha tu.

Na believe me you.... Most of us ladies tukitongozwa twaona ndio mzuriiiii na kwamba wewe wafaa..... Na kama ni mke wa mtu na ni mpumbavu ama umekosa utafakari unavunja na heshima ya ndoa na mume wako kwa kuleta jeuri ndani ya nyumba. Ok, mtu waweza tereza (kwa bahati mbaya ama makusudi or Whatever!) lakini heshima ya ndoa yatakikana iwe pale pale!

Hata hivo Teamo hata hapo nyuma nimegusia.... kama wewe mwanamke watongozwa kila siku let alone kila mara inabidi ujichunguze wewe, ama mazingira uliopo ama watu walokuzunguka ili uweze hasa fahamu what message you are sending to the watongozaji......


 
We sema tu unataka kunisindikiza...


EMT is screwed up!:scared:
Big time!
 

Wazazi wenye watoto wa kike utawajua tu.....wanatumie kiona mbali kupiga picha...

Anyway....wenzenu tulikuwa tunaletewa na tunapokea kwa raha zetu...

Mnaweza hayo??
 
hahaaaaaaaa hii thread inapoelekea inanifurahisha.:smile:
 
ADi,Kuna kitu kimoja wanawake huwa mnakosea...Yaani mwanamume angetamani akikutongoza basi ibaki siri yako hadi unakufa au usubiri hadi afe ndo useme....Sasa hebu ona ambavyo leo mmetusema...Kime ningekuwa nimeshawahi tongoza mmoja wa wachangiaji ningebadi ID immediately.....!!Ebu ona hata huyu jamaa alivyojihami mapema...!
 

Attachments

  • Presentation1.jpg
    54.1 KB · Views: 266
Miss you more. But nipo permanent sasa. 🙂
Haya basi, I hope hao wasio tongozwa japo wanataka, na hawajui tatizo ni nini sasa wamejua.


Naamini hilo Alter... Hivo have you noticed there is more message than Mtongozano? lol... I hope you are learning something here....
 


Ni vitu vingi saana vimebadilika katika ulimwengu huu.... Hasa katika mahusiano... ila kumbuka tu kua the basics are still the same. Kama you really want a future na huyo mwanaume then wafuata technique za BlackBerry... wahakikisha waweka mazingira ambayo hadi akutongoze bila hata yeye kujua it was your plan all along..... lol Lakini mara nyingi hio husumbua saana katika mahusiano kama wewe ndio ulitongoza the man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…