ADi,Kuna kitu kimoja wanawake huwa mnakosea...Yaani mwanamume angetamani akikutongoza basi ibaki siri yako hadi unakufa au usubiri hadi afe ndo useme....Sasa hebu ona ambavyo leo mmetusema...Kime ningekuwa nimeshawahi tongoza mmoja wa wachangiaji ningebadi ID immediately.....!!Ebu ona hata huyu jamaa alivyojihami mapema...!
........Kuna mmoja aliwahi kuniambia am single & not searching, lakini nilivyopekuwa Encyclopedia yangu nikakutana na kipengele kisemacho always woman they mean yes when they NO!......... nadhani unajuwa kifuatacho ITV.
Kutongozwa siyo sifa wala deal, pili siyo lazima utongozwe ndiyo ujulikane unapendwa. Kuna mapenzi ya automatic mnajikuta mko kwenye mapenzi bila kutongozana.
Una sura mbaya, nzuri, ni tajiri, umesoma, hujasoma, mkaanga sumu, mcha mungu yote hayo kwenye mapenzi yako nje ya msitari.
Babu kusema suna,
Kuna mwingine akikutongoza raha hadi inabidi useme tu.
Kama fulani anitongoze, si ntasema kwa kila mtu.
Wazazi wenye watoto wa kike utawajua tu.....wanatumie kiona mbali kupiga picha...
Anyway....wenzenu tulikuwa tunaletewa na tunapokea kwa raha zetu...
Mnaweza hayo??
Mie bado na-compile notice ili nianze effectively!!
Babu DC!!
ADi,Kuna kitu kimoja wanawake huwa mnakosea...Yaani mwanamume angetamani akikutongoza basi ibaki siri yako hadi unakufa au usubiri hadi afe ndo useme....Sasa hebu ona ambavyo leo mmetusema...Kime ningekuwa nimeshawahi tongoza mmoja wa wachangiaji ningebadi ID immediately.....!!Ebu ona hata huyu jamaa alivyojihami mapema...!
Na hawa madada wa kisasa tangu wawe na fursa ya kumiliki vyombo vya usafiri ndio tabu tupu,........wanaume wasiojiamini ndio wanawaogopa kabisa this category of woman's kumbe wanachoshindwa kujuwa wanaume wengi ni kwamba hawa madada uwezo wao wa kumantain service ya gari ni mdogo sana na wanahitaji backup ya fuel refilling kwahiyo kuwa mpanda daladala usimuhofie kumaproch mwanamke mwenye usafiri wake, mwisho wa siku Mwanaume ni mwanaume tu.Hakuna data kamili.... Tatizo watu wanapeleka maujuzi pm badala ya kwenye thread hii ili tujifunze kitu..... lol
DC ndoano wairushia kwa nani? (nidokeze)
kutongozana kwa watoto muhimu kwn hawajui kuchombeza ka wazee.
N raha sana kukuta mzee wa 45 na kuendelea wakitongozana wao kwa wao au mzee anatongoza wa miaka 18 to 28 ni mwendo wa kutoa appointment kwa ajiri ya kujenga friend atmosphere then nakuja kukupa mtoko tena ila nakwambia tangulia hotel flan rum flan utanikuta au ntakukuta huwezi kukataa si unapenda kutolewa out. Wanawake wa siku hz n rahis sana kama utafuata procedure tena n kuclick next tu. money talks na penye uzia basi chomeka rupia, huna haja ya kuumiza ndonga ka vijana wala wapake vichuburio tabu tupu..
PESA NA UTANDAWAZI NDIO VIMEUA LADHA YA MAPENZI.
Alter!!!!! :lol:Hakuna data kamili.... Tatizo watu wanapeleka maujuzi pm badala ya kwenye thread hii ili tujifunze kitu..... lol
Na hawa madada wa kisasa tangu wawe na fursa ya kumiliki vyombo vya usafiri ndio tabu tupu,........wanaume wasiojiamini ndio wanawaogopa kabisa this category of woman's kumbe wanachoshindwa kujuwa wanaume wengi ni kwamba hawa madada uwezo wao wa kumantain service ya gari ni mdogo sana na wanahitaji backup ya fuel refilling kwahiyo kuwa mpanda daladala usimuhofie kumaproch mwanamke mwenye usafiri wake, mwisho wa siku Mwanaume ni mwanaume tu.
ha ha ha ha ha ha! za mtandaoni siyo zangu bana, am not kind of a person who take chances kwenye vitu km hivi:A S-confused1:.(Reason;as i hv mentioned previously + s'tym a person may not fit my values).........lol.... Asakute isije ikawa ndio ushaanza kwangu kijanja.....lol.... (I am unavailable:A S 13: ); Hivo ukitaka kujaribu, jaribu it is ok... kwa wengine....lol. Ila tu genuinely sikushauri. Na nakubaliana na justification yako of the rest of the post....
Hakuna data kamili.... Tatizo watu wanapeleka maujuzi pm badala ya kwenye thread hii ili tujifunze kitu..... lol
Na hawa madada wa kisasa tangu wawe na fursa ya kumiliki vyombo vya usafiri ndio tabu tupu,........wanaume wasiojiamini ndio wanawaogopa kabisa this category of woman's kumbe wanachoshindwa kujuwa wanaume wengi ni kwamba hawa madada uwezo wao wa kumantain service ya gari ni mdogo sana na wanahitaji backup ya fuel refilling kwahiyo kuwa mpanda daladala usimuhofie kumaproch mwanamke mwenye usafiri wake, mwisho wa siku Mwanaume ni mwanaume tu.
:first: still in my hands.EMT is screwed up!:scared:
Hahaha kwani unaelekea wapi? Kwenye maandamano? Mabomu ya machozi utayaweza weye?We sema tu unataka kunisindikiza...
tuache utani, hakuna raha kama kutongoza halafu mwanamke anasmile huku anaona aibu.... kukataa hawezi, kukubali hawezi!!! its a beautiful scene aisee:doh:
Yani ingekua raha unatongoza tu, halafu unaishia kuona ile blushing, tatizo vikikubali ulafi unaanza!!! :wacko:
kigumu tu ni lugha ya kutongozea, kwani haiko yunifomu!!:lie:
Inferiority complex,........mbona hawana noma kabisa! akikuvalia miwani ya juwa wewe mvalie ya kuogelea, nadhani kuna wakati tunawajaji vibaya, ingawa sikatai wako malimbukeni miongoni mwao.Ila kaka,
Usiwaogope utakuwa mtu wa namna gani...Hawa wamefikia kutinga miwani jua hadi saa 4 usiku...utaanzia wapi wakati mtu kakuficha macho kama baunsa??
Babu DC!!