Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Babu kusema suna,

Kuna mwingine akikutongoza raha hadi inabidi useme tu.
Kama fulani anitongoze, si ntasema kwa kila mtu.

ADi,Kuna kitu kimoja wanawake huwa mnakosea...Yaani mwanamume angetamani akikutongoza basi ibaki siri yako hadi unakufa au usubiri hadi afe ndo useme....Sasa hebu ona ambavyo leo mmetusema...Kime ningekuwa nimeshawahi tongoza mmoja wa wachangiaji ningebadi ID immediately.....!!Ebu ona hata huyu jamaa alivyojihami mapema...!
 
........Kuna mmoja aliwahi kuniambia am single & not searching, lakini nilivyopekuwa Encyclopedia yangu nikakutana na kipengele kisemacho always woman they mean yes when they NO!......... nadhani unajuwa kifuatacho ITV.

Basics na misimamo yako ya mahusiano nayakubali mara nyiingi..... Hivo naona you maybe right..... lol
 
kutongozana kwa watoto muhimu kwn hawajui kuchombeza ka wazee.
N raha sana kukuta mzee wa 45 na kuendelea wakitongozana wao kwa wao au mzee anatongoza wa miaka 18 to 28 ni mwendo wa kutoa appointment kwa ajiri ya kujenga friend atmosphere then nakuja kukupa mtoko tena ila nakwambia tangulia hotel flan rum flan utanikuta au ntakukuta huwezi kukataa si unapenda kutolewa out. Wanawake wa siku hz n rahis sana kama utafuata procedure tena n kuclick next tu. money talks na penye uzia basi chomeka rupia, huna haja ya kuumiza ndonga ka vijana wala wapake vichuburio tabu tupu..
PESA NA UTANDAWAZI NDIO VIMEUA LADHA YA MAPENZI.
 
Kutongozwa siyo sifa wala deal, pili siyo lazima utongozwe ndiyo ujulikane unapendwa. Kuna mapenzi ya automatic mnajikuta mko kwenye mapenzi bila kutongozana.

Una sura mbaya, nzuri, ni tajiri, umesoma, hujasoma, mkaanga sumu, mcha mungu yote hayo kwenye mapenzi yako nje ya msitari.

Caroline....kama umenisoma vema utagundua kua nimesema kua kwa nini wanaweke wengine hawatongozwi....Sijasema lazima utongozwe, na wala sijaonesha kua ndio Ufahari.... yaani I meant hivohivo simply kwa nini wanawake wengine hawatongozwi.
 
Babu kusema suna,

Kuna mwingine akikutongoza raha hadi inabidi useme tu.
Kama fulani anitongoze, si ntasema kwa kila mtu.

Kongosho,

Kuna tofauti kati ya kusema kwa shost wako na kusema kusema hadi kila mtu anajua....Hope utakumbuka mambo ya hosteli....hadi unaanza kunyoshewa vidole...

Inasababisha temporary impotence ya ajabu sana!!

Babu DC!!
 
Wazazi wenye watoto wa kike utawajua tu.....wanatumie kiona mbali kupiga picha...

Anyway....wenzenu tulikuwa tunaletewa na tunapokea kwa raha zetu...

Mnaweza hayo??

Alaaaa Kumbeeeee????? Ndio maana Teamo kaongea kwa mafilingi?!! LOL.... Nimeipenda saana post yake: Ni ya ukweli....

Mie bado na-compile notice ili nianze effectively!!

Babu DC!!

DC ndoano wairushia kwa nani? (nidokeze)

ADi,Kuna kitu kimoja wanawake huwa mnakosea...Yaani mwanamume angetamani akikutongoza basi ibaki siri yako hadi unakufa au usubiri hadi afe ndo useme....Sasa hebu ona ambavyo leo mmetusema...Kime ningekuwa nimeshawahi tongoza mmoja wa wachangiaji ningebadi ID immediately.....!!Ebu ona hata huyu jamaa alivyojihami mapema...!

Si bora wanawake wanasema tu kua umetongozwa ama lah! Wanaume wanaenda kukuchafua kwa wanaume wenzie kwa kutangaza pale hamna kitu kabisa! Wee kapite tu! mbaya saana hii.....
 
Hakuna data kamili.... Tatizo watu wanapeleka maujuzi pm badala ya kwenye thread hii ili tujifunze kitu..... lol
Na hawa madada wa kisasa tangu wawe na fursa ya kumiliki vyombo vya usafiri ndio tabu tupu,........wanaume wasiojiamini ndio wanawaogopa kabisa this category of woman's kumbe wanachoshindwa kujuwa wanaume wengi ni kwamba hawa madada uwezo wao wa kumantain service ya gari ni mdogo sana na wanahitaji backup ya fuel refilling kwahiyo kuwa mpanda daladala usimuhofie kumaproch mwanamke mwenye usafiri wake, mwisho wa siku Mwanaume ni mwanaume tu.
 
kutongozana kwa watoto muhimu kwn hawajui kuchombeza ka wazee.
N raha sana kukuta mzee wa 45 na kuendelea wakitongozana wao kwa wao au mzee anatongoza wa miaka 18 to 28 ni mwendo wa kutoa appointment kwa ajiri ya kujenga friend atmosphere then nakuja kukupa mtoko tena ila nakwambia tangulia hotel flan rum flan utanikuta au ntakukuta huwezi kukataa si unapenda kutolewa out. Wanawake wa siku hz n rahis sana kama utafuata procedure tena n kuclick next tu. money talks na penye uzia basi chomeka rupia, huna haja ya kuumiza ndonga ka vijana wala wapake vichuburio tabu tupu..
PESA NA UTANDAWAZI NDIO VIMEUA LADHA YA MAPENZI.

Sad but true.... Hili sio tatizo kwa mabinti tu.... hata vijana, tena I think wao ndio yasikitisha.... kijana rijali na urijali wake anakubali kuliwa kubudu sababu tu ya kupenda maisha rahisi na vitu vya bure.....
 
Na hawa madada wa kisasa tangu wawe na fursa ya kumiliki vyombo vya usafiri ndio tabu tupu,........wanaume wasiojiamini ndio wanawaogopa kabisa this category of woman's kumbe wanachoshindwa kujuwa wanaume wengi ni kwamba hawa madada uwezo wao wa kumantain service ya gari ni mdogo sana na wanahitaji backup ya fuel refilling kwahiyo kuwa mpanda daladala usimuhofie kumaproch mwanamke mwenye usafiri wake, mwisho wa siku Mwanaume ni mwanaume tu.

Ila kaka,

Usiwaogope utakuwa mtu wa namna gani...Hawa wamefikia kutinga miwani jua hadi saa 4 usiku...utaanzia wapi wakati mtu kakuficha macho kama baunsa??

Babu DC!!
 
lol.... Asakute isije ikawa ndio ushaanza kwangu kijanja.....lol.... (I am unavailable:A S 13: ); Hivo ukitaka kujaribu, jaribu it is ok... kwa wengine....lol. Ila tu genuinely sikushauri. Na nakubaliana na justification yako of the rest of the post....
ha ha ha ha ha ha! za mtandaoni siyo zangu bana, am not kind of a person who take chances kwenye vitu km hivi:A S-confused1:.(Reason;as i hv mentioned previously + s'tym a person may not fit my values).........
Ila hao ambao hawatongozwi na naamini wapo lonely (Reason;coz even a thug gets lonely ati),,,,still dont know how to get man of there desire they need a big help......(my take; s'tym we men play and dance tones za women ,unaona umetafuta kumbe umenasishwa.....it happened wakati mwingine na magwiji wanajua....akili kumkichwa):confused2:
 
Hakuna data kamili.... Tatizo watu wanapeleka maujuzi pm badala ya kwenye thread hii ili tujifunze kitu..... lol

tuache utani, hakuna raha kama kutongoza halafu mwanamke anasmile huku anaona aibu.... kukataa hawezi, kukubali hawezi!!! its a beautiful scene aisee:doh:

Yani ingekua raha unatongoza tu, halafu unaishia kuona ile blushing, tatizo vikikubali ulafi unaanza!!! :wacko:

kigumu tu ni lugha ya kutongozea, kwani haiko yunifomu!!:lie:
 
Na hawa madada wa kisasa tangu wawe na fursa ya kumiliki vyombo vya usafiri ndio tabu tupu,........wanaume wasiojiamini ndio wanawaogopa kabisa this category of woman's kumbe wanachoshindwa kujuwa wanaume wengi ni kwamba hawa madada uwezo wao wa kumantain service ya gari ni mdogo sana na wanahitaji backup ya fuel refilling kwahiyo kuwa mpanda daladala usimuhofie kumaproch mwanamke mwenye usafiri wake, mwisho wa siku Mwanaume ni mwanaume tu.

It takes a true man kujua hilo... BUT It takes a true and understanding Woman kuelewea kua kumiliki kwake gari sio kigezo kua ataemtongoza nae awe anamiliki. Kumbuka kua bahati mbaya saana idadi kubwa na wanawake ambao wamebahatika kua na usafiri kua na ka attitude ka kujenga dharau towards a man on foot. Ki halisia kama mwanamke ana gari na mwanaume hana na wote ni werevu it is so simple to cope!

Hata hivo back to the issue at hand... Matola yahitaji nguvu fulani ya ziada... Kusema kweli chukulia wamtongoza mwanamke mwenye usafiri na wewe huna it tends to discourage a bit... else uwe na plans na una uwezo kabisa wa kuweza miliki gari but kwa sababu za msingi zozote zile huna gari kwa wakati huo.

Naamini kwa dhati kabisa kua one having usafiri ina toa mwanga ya walau level ya uwezo wako.... na Matola... I believe you and I kno kua mahusiano ambayo mwanamke kifedha yupo juu ya mwanaume huleta shida in the long run. Ladbda kama wapo for fun and sex tu!
 
tuache utani, hakuna raha kama kutongoza halafu mwanamke anasmile huku anaona aibu.... kukataa hawezi, kukubali hawezi!!! its a beautiful scene aisee:doh:

Yani ingekua raha unatongoza tu, halafu unaishia kuona ile blushing, tatizo vikikubali ulafi unaanza!!! :wacko:

kigumu tu ni lugha ya kutongozea, kwani haiko yunifomu!!:lie:

Siyo lugha tu, courage ya kuanzisha mchakato wenyewe...then lugha...

Kuna watu walikuwa wanalipwa pesa nyingi sana kwa kujua kuupepeta mdomo...

Anyway...tunahitaji kutafuta jinsi ya kuwafikisha hizi exciting stories wajukuu zetu....

Babu DC!!!
 
Ila kaka,

Usiwaogope utakuwa mtu wa namna gani...Hawa wamefikia kutinga miwani jua hadi saa 4 usiku...utaanzia wapi wakati mtu kakuficha macho kama baunsa??

Babu DC!!
Inferiority complex,........mbona hawana noma kabisa! akikuvalia miwani ya juwa wewe mvalie ya kuogelea, nadhani kuna wakati tunawajaji vibaya, ingawa sikatai wako malimbukeni miongoni mwao.
 
Back
Top Bottom