Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Suala la gari kwa akina dada ni kitu ambacho ni kigumu kukieleza....Mtu akiwa na gari hata la boss au mjomba wake anaweza kujipatia wasichana hata 10 mtaa mmoja....
Ila na dada akishakuwa na gari...basi tena, huna naye viwango vyake vimeshapita TBS...hakamatiki tena!
Kuna kajukuu kamoja kalikuwa kananisimulia kuwa siku hizo kwenye hostel za vyuo, kuopolewa na kijana hana gari ni kashfa ya kuua mtu....!!
Anyway....Dunia ni yao....!!
Babu DC!!
I would like to declare conflict of Interest,....... my X aliponunuwa gari kwa kweli kama na Mungu angekuwa hajanijalia kumiliki vimikweche vyangu basi huenda Matola ningeshajinyonga au ningekuwa na tatizo kubwa la kisaikolojia, maana Mwanamke huyu tangu aliponunuwa gari lake alihakikisha ananikoga kweli kweli,...... bahati nzuri nyumbani ni kama show room thanks God. Ila....