Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Suala la gari kwa akina dada ni kitu ambacho ni kigumu kukieleza....Mtu akiwa na gari hata la boss au mjomba wake anaweza kujipatia wasichana hata 10 mtaa mmoja....

Ila na dada akishakuwa na gari...basi tena, huna naye viwango vyake vimeshapita TBS...hakamatiki tena!

Kuna kajukuu kamoja kalikuwa kananisimulia kuwa siku hizo kwenye hostel za vyuo, kuopolewa na kijana hana gari ni kashfa ya kuua mtu....!!

Anyway....Dunia ni yao....!!

Babu DC!!

I would like to declare conflict of Interest,....... my X aliponunuwa gari kwa kweli kama na Mungu angekuwa hajanijalia kumiliki vimikweche vyangu basi huenda Matola ningeshajinyonga au ningekuwa na tatizo kubwa la kisaikolojia, maana Mwanamke huyu tangu aliponunuwa gari lake alihakikisha ananikoga kweli kweli,...... bahati nzuri nyumbani ni kama show room thanks God. Ila....
 
Call it whatever!!

Mwonekano wa binti una umuhimu mkubwa sana kwa mtu anayetafuta partner...Hakuna askari mwenye busara anayependaa kupoteza risasi zake kwa kushoot hovyo hovyo hewani!!

Babu DC
kweli kabisa babu ,,,,,,,,,, Slogan ya waserbia kipindi kile wakienda kuwinda: ONE BULLET ONE KILL. hakuna kupoteza resources hovyo.
 
Mzee DC ni wasi wasi wako tu!
sababu wewe umeamkia kunichokoza (hasa kwenye mambo ya urahisi wa kua na vichochoro) basi wafikiri am doing the same. lol

Umenichekesha sana wewe ADi,

Naamini leo you had a great day...extension ya wk end,

Umenikumbusha enzi za ujana wetu...We believed kwamba mtu akipendeza sana lazima apewe zawadi ili kumtendea haki....Hata kama anataka kutoka na marafiki zake basi inabidi asubiri zawadi yake kwanza!!!!!!

You deserve one today....Lol!!!

Babu DC!!!
 
he he he, usinikumbushe maisha yale.
Unasemwa hadi hadi ukipewa mzigo huwezi kupiga kazi tena.

Ila suna ruksa jamani hasa kama umemtega mtu akategeka lol

Kongosho,

Kuna tofauti kati ya kusema kwa shost wako na kusema kusema hadi kila mtu anajua....Hope utakumbuka mambo ya hosteli....hadi unaanza kunyoshewa vidole...

Inasababisha temporary impotence ya ajabu sana!!

Babu DC!!
 
I would like to declare conflict of Interest,....... my X aliponunuwa gari kwa kweli kama na Mungu angekuwa hajanijalia kumiliki vimikweche vyangu basi huenda Matola ningeshajinyonga au ningekuwa na tatizo kubwa la kisaikolojia, maana Mwanamke huyu tangu aliponunuwa gari lake alihakikisha ananikoga kweli kweli,...... bahati nzuri nyumbani ni kama show room thanks God. Ila....

Hii ndiyo raha ya JF.....Wakati kuna watu wanongea hadithi za vitabuni na mitaani, kuna watu wanamwaga uzoefu....

Amini usiamini, gari kwa mwanamke ina magic powers (no intention to offend wajukuu zangu na dada zangu wapenzi)!!

Babu DC!!
 
Hii post yako inajitosheleza, kwa sababu nimeshuhudia hata madereva wa STJ na STK wakipata wachumba na wake mitaani kwa zile resource za serikali, hapa bado sijajuwa gari limewekewa uchawi gani ndani yake!
Unaweza kukuta mtu amejibana na kusave income yake na akafanikiwa kujenga nyumba nzuri na standard lakini kina dada wa kiswahili wao humthamini mwenye gari! very interesting.....

Sijaelewa bado Waswahili hasa wana vigenzo gani kumvalue binadamu, last time wakati nasafiri kwenda UK sikuhitaji family member yeyote kunisindikiza Airport kwa sababu ndege ilikuwa inaondoka saa 10 usiku, kwa hiyo kuna pub moja ya mama mmoja mtaani nilikaa ili kubuy time, muda ulivyofika nikaawaga yeye na mabinti zake bomba sana,then nikaondoka na tax driver tu. sasa baada ya kurudi yule Mama amegeuka yeye ndio kuwadi wa Binti yake akitaka kwa udi na uvumba tuwe wapenzi na wakati mimi namfahamu fika yule msichana ana mtu wake na nikimuweka kwenye kipima joto ni kwamba ameshanipa all Green light, lakini busara zangu zimenituma nisitishe mazoea ya kunywa pale.

Sasa basi nikirudi kwenye point yako ya msingi yaani all of this nonsence yaani kwa mswahili hivi visafari vya kwenda mtoni ni CV ya kukubalika kwenye jamii, hapa ndipo tatizo la msingi kama jamii limetukumba na bila ya kubadilika kifikra basi ipo kazi.

Matola hio in blue.... Haipo kwa waswahili tu... Ipo dunia nzima, haijalishi ni Mzungu, Mchina, Mhindi, Mweusi OR whatever... Kila mzazi awe mama ama baba want what is best for their kids.... Tofauti ni kua women (mama) yupo more forward than wanaume (baba).

I am not being a snob ila ndio reality! Mwanaume ambae yupo Financially stable ndio hasa mara nyingi logically the best candidate for a woman kujidhatiti huko kulika a Man ambae hayupo Financially stable. Na hayo mambo hayapimwi kwa kumuuliza mtu.... Hapana! Labda uwe huna mshipa wa aibu! Ila inapimwa kwa the whole of you.... The way you talk (Mwanaume mwenye hela vs mwenyewe hana pesa tofauti kabisa kuongea..... believe me you); The way you carry yourself (yaani body language); vitu vilokuzunguaka hapo immediately (simu, gari, Ipad, na the like); na kumbuka kua kuna mwanaume mwingine hadi anaenda to lengths kuazima ili tu aonekane wa maaana kwa mwanamke na aweze mpata! Tena akiwa na nia nae ndo anaoa kabisaaa... Mwanamke waenda ng'aaa macho bada ya kuolewa ndo watambua the true worth ya huyo mwanaume (Hili wanaume wana ushirikiano sana katika kuwezeshana).

Safari ya Kwenda mtoni lazima ikubadilishe katika jamii.... Wewe unaona ni nonsence sababu umebahatika na waona there is nothing new hapo... ila kwa yule ambae anajua anatambua kua Matola kisha nipiga gap! Kawa more exposed kuliko yule ambae hajaenda huko..... Haya mambo ya statuses kamwe hayawezi badilika daima! There will be wale ambao wapo juu.... wapo kati na wapo chini..... Vitabu vya dini vimeonesha hivo.... History books imeprove hivo.... na the Present gives us the painful truth!
 
ADi,

Naomba basi uchukua ma uzoefu yetu wote ambayo wadau wamemwaga hapa, utengeneze muhtasari ili wale wenye shida wapate msaada...

Unaonaje.....Tell me if you need help!

Babu DC!!
 
thanks AD ,ila hapa na disagree na this openly ,why should you degrade yourself?(Reason;its very expensive to run away from yourself)
ila hapo kutumia kitu ambacho ni kizuri kwake ,100% nakubaliana na ww b'se of the same reason as above.

Ishu ya kujitambua na nini unataka z very important sana(Reason;it will make you love yourself ,enjoy life and be happy with your deeds ,soroundings etc)

my take;ishu ni kujichanganya na watu ,so that pipo can get to know your good part (si unajua tena b'se of infireority complex watu waliokuzunguka may see you differently from who you are b'se simply tu hujawapa nafasi of knowing who exactly are you)

Asakute.... belive me you degrading (kujishusha) one's self ni muhimu saana. Naomba tu ukubali hasa katika maswala yahusuyo mapenzi.... Mimi natamani wale wote wenye pesa ndefu wanapotafuta life partners wangekua wanajishusha kuhakikisha wapata the rite woman or man for dunia ya sasa watu wakukubali kwa kile ulicho nacho. Unaonaje raha ambayo waweza pata kama umepata mwanamke ambae anakuona wa kawaida na akakupenda hivo hivo only to find baadae kua you are more than hapo alipokufikiria?
 
Hilo ni gumu ADi,

Kwani watu wanatumia vile walivyonavyo kumwagia sera....Sasa ukijificha una hakika gani kama huchezei shilingi kwenye tundu la choo, tena cha shule ya kata???!!

Babu DC!!
 
Gademu!!! you are spot one... once again!!!

it is sooo natural and soo rewarding seeing that shyness and blushes out of a beauty!! and you are very right (hapo kwenye hard on... ni balaa):A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused:

hahahaa.... sometimes you are so old fashioned in matters of the heart pal.... lol... That is kind of really good.
 
Matola hio in blue.... Haipo kwa waswahili tu... Ipo dunia nzima, haijalishi ni Mzungu, Mchina, Mhindi, Mweusi OR whatever... Kila mzazi awe mama ama baba want what is best for their kids.... Tofauti ni kua women (mama) yupo more forward than wanaume (baba).

I am not being a snob ila ndio reality! Mwanaume ambae yupo Financially stable ndio hasa mara nyingi logically the best candidate for a woman kujidhatiti huko kulika a Man ambae hayupo Financially stable. Na hayo mambo hayapimwi kwa kumuuliza mtu.... Hapana! Labda uwe huna mshipa wa aibu! Ila inapimwa kwa the whole of you.... The way you talk (Mwanaume mwenye hela vs mwenyewe hana pesa tofauti kabisa kuongea..... believe me you); The way you carry yourself (yaani body language); vitu vilokuzunguaka hapo immediately (simu, gari, Ipad, na the like); na kumbuka kua kuna mwanaume mwingine hadi anaenda to lengths kuazima ili tu aonekane wa maaana kwa mwanamke na aweze mpata! Tena akiwa na nia nae ndo anaoa kabisaaa... Mwanamke waenda ng'aaa macho bada ya kuolewa ndo watambua the true worth ya huyo mwanaume (Hili wanaume wana ushirikiano sana katika kuwezeshana).

Safari ya Kwenda mtoni lazima ikubadilishe katika jamii.... Wewe unaona ni nonsence sababu umebahatika na waona there is nothing new hapo... ila kwa yule ambae anajua anatambua kua Matola kisha nipiga gap! Kawa more exposed kuliko yule ambae hajaenda huko..... Haya mambo ya statuses kamwe hayawezi badilika daima! There will be wale ambao wapo juu.... wapo kati na wapo chini..... Vitabu vya dini vimeonesha hivo.... History books imeprove hivo.... na the Present gives us the painful truth!
very true ,its not nonsense(evertone wants best 4 their kids,,,,,,japo huo ubest unatofauti) hata wababa wapo siyo wamama tu.......... Little confession; nilimpatia binti X some service ninapofanyia kazi ,then nikampatia Mama wa X service.......at 1st binti X aliletwa na her farther ,then her mother ,hlf tena farther....baba alimleta binti kupata huduma km mara 4 hivi na zote nilijitolea kuwasaidia.

sasa baada ya hapo nikawa napokea calls from the gal's father ,ila inshort ni siku moja nikabipiwa km mara tatu kupiga nakutana na yule binti akaniambia baba yake karudi nyumbani amelewa anamlazimisha kuongea na mimi kwenye 4ne.....the rest waja niache ,ila nilistuka neva expected that kutoka kwa baba wa mtu.
 
Da, AshaDii, mimi kutongoza mara nyingi kumekuwa kukiniletea matatizo makubwa, hususan katika kipindi cha ujana wangu. Sijui nilikuwa nakosea timing au ni mikosi, hata sijui.
Ahsante kwa uzi huu Da AshaDii kwani wanawake watajifunza wasitubanie hata salaam pamoja na kwamba tumeoa lakini tunapenda kufanya Reheasal kujikumbusha mambo ya ujanani................LOL
 
Back
Top Bottom