Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?



Berry post yako hii IMESIMAMA.... I love huo msimamo wako na kujitambua kwako... No wonder you are Black Berry.... Kuna wengine hata haya hamna.... Hajali kua wakati wa kazi ama kanisani...
 
Unataka kutoroshwa na nani huyo?
Siku hizi wanamme nao mnatoroshwa??

Ntakunyima ugari mwaka mzima.

Nakusalimu Kongosh asali ya ODM.

Mi mekumisi sana meneja wangu.

Sori ADI foo zis ofutopiki.
 
Hata akitumia hiyo fomula bado watu watatoka nduki, maana sio mchezo kumweka ndani mwanamke wa aina hii, nani anataka kufa na presha unadhani
 


Mine was Great.... Hii weekend ilikua nzuri sana kwangu na niliipenda. Wewe vipi?

On a serious note; ilitakiwa ma brother wawe wanaongea na wadogo zao.... Kizazi hiki cha sasa katika sector ya kutongoza ndio kibovu kabisa (na siwalaumu) too much relation based negotiations or what ever they call them via mitandao.... ikiongozwa na hii Virus ya Simu ya mkononi.... Niite mshamba, Ila mtoto wangu wa kike (kama ilivo kwa wadogo zangu wa kike) simu hadi amalize shule Advanced. Else awe nayo mimi sina habari!
 
Berry post yako hii IMESIMAMA.... I love huo msimamo wako na kujitambua kwako... No wonder you are Black Berry.... Kuna wengine hata haya hamna.... Hajali kua wakati wa kazi ama kanisani...
kwa kweli, kuna mbinu za kuonekana msichana wa kawaidaaaa ambaye huna makuu, hapo ujue uko mawindoni, unatoka simple na marafiki, na mie nikitaka unitongoze lazima ujae tu wavuni.....maisha mafupi sana kukaa kujistress, mara niko class ya juu, mara nini
 
Dah! hapa sina mchango wowote lakini kwavile nimepita na sredi limekwenda acha nikupatieni burudani la kupoza koo.


WARNING: hairuhusiwi kuchakachua sredi, mimi nimeweka hii kwasababu mimi ni mod wa burudani sredi ikifika page ya tisa
 
Last edited by a moderator:
Heee heee hee,
Sisy bana,
Muulize shemeji yako Rejao ananijua kuliko nijijuavo mwenyewe lol!

hahaha.... Haya bana! Dah! lol




Asante mzee DC.... Kwa mawazo yangu... Mwanaume ambae hatongozi tongozi naweza sema kua ni "Gentleman" Take note: Unaposema hatongozi tongozi ina maana hatongozi mara kwa mara ila once in a while na mara nyingi akimaanisha ama akiwa kweli willing kua na the lady na sio tu kwa tamaa za ovyo ovyo ama majaribu ya kuona kama atapata.

Alafu DC wanaotafuta wachumba hawatongozi tongozi on the basis of kutafuta uchumba... Atleast that is what I know...
 


I hope wakaka watakusoma na kukuelewa kwa hili.... Hio ulotaja Berry ni moja ya Strategies ya kumwinda mtu na kuhakikisha yupo wavuni as you call it..... lol... Nyingine inabidi tusianike hapa; kama wapenzi wapo humu wasije funguka kichwa na kugundua kukufuata kwake was not his idea but you just planted it.... lol
 
Dah! hapa sina mchango wowote lakini kwavile nimepita na sredi limekwenda acha nikupatieni burudani la kupoza koo.

WARNING: hairuhusiwi kuchakachua sredi, mimi nimeweka hii kwasababu mimi ni mod wa burudani sredi ikifika page ya tisa



Kumbe huo wimbo ndio unaitwa hivo....lol...

BTW Klorokwin hebu acha kunibania I don't believe huna ambalo waweza ongeza nieweze benefit na fellow members....
 
Uko sahihi, through my experience katika maisha yangu na mavurugu yangu ya kutoka na mabinti, sijawahi kuona msichana/ mwanamke ambaye ni mzuri sana kwa mwonekano wa nje akakidhi vigenzo vinavyopendwa na wanaume, mara nyingi wanaume huwa tunakuwa na wanawake wa namna hiyo kama maonesho fulani tu, but/ lakini, simaanishi wanawake wote wenyemvuto wa hali ya juu hawakidhi vigenzo vinavyopendwa na wanaume.
 


Ni kuomba Mungu maana hawa watoto wetu wanaweza kufanya yale tunayoyaogopa kama ukoma bila wasiwasi wowote. What you think is a line that you can not cross, watch out! Your kids will cross kama hawana akili nzuri
 
2. Akiwa mbaya sana (Yaani mwanamke ana sura kama ngumi ya mwizi) afu basi hata kujifanyia make ups hajui au hataki. Afu ukute mchafu kama choo cha stendi..../ nani atakutongoza?

Duu sura kama ngumi, hivi hiz nazo zipo ee!
 
Thou sio lazima kua ukiwa umevaa pete ya ndoa ndio hutatongoza…. To other guys hata haijalishi as long as wee as a lady don't mind….

Hasa ukizingatia a man's wife is another man's player.

Lakini Asha Dii hizi bado zipo au ni RIP?



Hii staili ndio imekufa kifo cha mende sio?


Na barua pia nilituma usome.



Yaani haya mambo ya kutongozana kwa simu yalimshinda hata Pimbi.

 
Ni kuomba Mungu maana hawa watoto wetu wanaweza kufanya yale tunayoyaogopa kama ukoma bila wasiwasi wowote. What you think is a line that you can not cross, watch out! Your kids will cross kama hawana akili nzuri


Ni kweli Mungu mkubwa.... Ndahani... wote tuliwahi pitia hizo, kufanya yale ambayo wazazi hawakutegemea kua wajua wala waweza fanya.... What matters ni kua I try to send them a message not to cross certain lines... Na waki cross wanakua wame cross at their own risk. Na I will tell my self I tried ila nature was more powerful than me....
 
Kwa kweli kaka angu, hilo linaeleweka, hapo msichana ukiwa na uzuri wa nje na ukawa na maisha mazuri sana, kama huna akili ya ziada, utaona wenzako tu wanatongozwa na kuolewa.....ila ukiweza kuelewa mazingira ukajishusha na kuonekana kumbe unawezekana, baaasi mambo yatakuwa mazuri, tatizo kubwa sasa siku hizi wasichana wengi wasomi wazuri wameamua kuishi single kabisa, akitaka naniliu anamtongoza mwanaume mwenyewe, mambo ya utandawazi hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…