AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
- Thread starter
- #161
Mie kuna sehemu na sehemu, inategemea, kuna sehemu kama nataka attention ya mitongozo najiweka hivyo,kuna sehemu sitaki kabisa mitongozo kama kwenye hafla za kiofisi,kanisani, uso nitaukunja hata nikiona jicho la mtu yeyote yule linaniangalia.....ila mwanamke kutongozwa bwana ndio mpango mzima,kwa wakati muafaka lakini
Berry post yako hii IMESIMAMA.... I love huo msimamo wako na kujitambua kwako... No wonder you are Black Berry.... Kuna wengine hata haya hamna.... Hajali kua wakati wa kazi ama kanisani...