Mwanamke kuvaa nguo ya mumewe/mpenzi....

mimi navaa vizuri hasa tshirts na natoka nazo, saa ndo usiseme naweza ivaa wiki nzima kazini
 
ur man in a dream eti?😀😀😀😀
 
Umeshawahi kukutana na hili? Utajisikiaje/unajiskiaje unavyorudi nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako? Au akaomba kuvaa saa yako wakati anatoka!

Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?

Kuna hali flani hivi najisikia...
 
Umeshawahi kukutana na hili? Utajisikiaje/unajiskiaje unavyorudi nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako? Au akaomba kuvaa saa yako wakati anatoka!

Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?

Kwa mademu wa kibongo ukiona umefanyiwa hivi na demu wako basi juwa umerogwa na kuchotwa akili zako.
 
Mimi Nina binti yangu anapenda sana kuvaa tshet zangu nikinunua tshet mpya lazima avae huli likoje wakuu?
 
Comment inakaribia kutimiza miaka 9 na haijachuja.....
 
Maendeleo
 
Mimi Nina binti yangu anapenda sana kuvaa tshet zangu nikinunua tshet mpya lazima avae huli likoje wakuu?
Binti yako bado ni immature na Kuna uwezekano mkubwa hajawahi kuwa na boyfriend,. Siku akiingia kwenye mahusiano hiyo hali ya kuvaa vyakako itakuwa imefika Kikomo.
 
we usiombe awe na mtindi au ananyonyesha yan tshet ikirudi hauwezi vaa tena kama ilikuwa round inakua v.
inategemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…