Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My man used to love it when I'd wear his clothes.AND as FOR ME I like wearing his big shirt with nothing
on the bottom but panties I find it so LOVELY/SEXY.yaani acha tu
I used to love waring his shirt when I cooked up something for us to eat,wen we watch movie etc...rahaje
I think it can be very sexy. To wear it and go out ... not so sexy!
Umeshawahi kukutana na hili?utajisikiaje/unajiskiaje unavyorud nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako?
Au akaomba kuvaa saa yako wakat anatoka!
Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?
Inaonekana unamkumbuka sana...etc
na hongera kwa kuishi maisha kama yale tunayoyaona kwenye tamthiliya kama 'Sunset Beach', 'Acalpuco Bay'
Unasema "you used to…." pole kwamba them moments are no longer contemporary.
imekuaje tena???
unajisikiaje akivaa mrs wako?
mwanaume mwenye kitambi na chest hair kavaa kanga kiunoni imeandikwa ''ninachompa hawezi kupata kwingine''Sioni kama ni jambo la ajabu mkuu...avae saa, ajipulizie uturi wangu whatever!!!
Ila midume angalieni msivae kanga, vitenge n.k vya wake zenu...hatareee
mmmhh Munkari my love wako?anyway ila ni raha sana jaman....
I've an impression that you're a super fantastic woman! just via your comments.
nataka kujaribu bahati yanguAm single..until further notice
umeona kwenye used to mengine hujaona
mwanaume mwenye kitambi na chest hair kavaa kanga kiunoni imeandikwa ''ninachompa hawezi kupata kwingine''
kuvaliana nguo ni kuzuri sana sana na huleta hamasa ya mapenzi kati yenu.
tena uvae shati ama tishirt, chuni ubvae chupi lazima ujiskie tofauti kabisa.
raha zaid ni kuvaa chupi ya mume jamani ni raha usipime halafu inapendeza sana
i've such impression too,heavean on earth unankosha miee