Mwanamke kuvaa nguo ya mumewe/mpenzi....


Unasema "you used to…." pole kwamba them moments are no longer contemporary.
 
Umeshawahi kukutana na hili?utajisikiaje/unajiskiaje unavyorud nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako?
Au akaomba kuvaa saa yako wakat anatoka!
Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?




 
Subiri wenzio waje! But mbona rahaa tu kuvaa nguo za my love wako! Haswaa tshirt.

Mmmhh Munkari my love wako?anyway ila ni raha sana jaman....
 
unajisikiaje akivaa mrs wako?

ni kitu cha kawaida kabisa kwa wanandoa au watu waliokwenye mahusiano .. kwa wife kumkuta kavaa kaptura / tshirt / truck/ shati ni jambo la kawaida na hata kama tuna mtoko wa kwenda jirani kwnye moja moto moja baridi huwa nakuwa happy zaidi anapokuwa amevaa nguo mojawapo yangu .. na hata tukiwa rum mimi kuvaa kitenge chake ni kawaida

sasa sijui mkuu wewe hapo unaona ajabu wapi?
 
Sioni kama ni jambo la ajabu mkuu...avae saa, ajipulizie uturi wangu whatever!!!

Ila midume angalieni msivae kanga, vitenge n.k vya wake zenu...hatareee
mwanaume mwenye kitambi na chest hair kavaa kanga kiunoni imeandikwa ''ninachompa hawezi kupata kwingine''
 
mmmhh Munkari my love wako?anyway ila ni raha sana jaman....

wee kidhungu hicho!! Umeona eeeh! Sa muwe mnaendana siyo mtishirt au mshati huo! Ka pawa mabula! Unauvaa afu unaenda dukani kununua chumvi khaaa! Watu watakucheka ! Liwe linakutosha upo zako home unafuafua loh! Inapendezaje ka hujaitwa ndani ukaacha hata kufua! Hahahaha!!!
 
kuvaliana nguo ni kuzuri sana sana na huleta hamasa ya mapenzi kati yenu.
tena uvae shati ama tishirt, chuni ubvae chupi lazima ujiskie tofauti kabisa.

raha zaid ni kuvaa chupi ya mume jamani ni raha usipime halafu inapendeza sana
 
mwanaume mwenye kitambi na chest hair kavaa kanga kiunoni imeandikwa ''ninachompa hawezi kupata kwingine''

hahahahhahahahahah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ama unakuta kavaa imeandikwa 'ajabu nazi kavu kuvunja jiwe'
 
1. Umeoa?
Kama jibu ni hapana! Basi.

Kama jibu ni ndiyo, swali chini;
2. We unamfikiriaje?

am a lady and am in my man shirt,ndio nikajiuliza mwanaume anakua anajisikiaje anapomkuta mrs kavaa hvo?!!
 
kuvaliana nguo ni kuzuri sana sana na huleta hamasa ya mapenzi kati yenu.
tena uvae shati ama tishirt, chuni ubvae chupi lazima ujiskie tofauti kabisa.

raha zaid ni kuvaa chupi ya mume jamani ni raha usipime halafu inapendeza sana

inategemeana na maumbo yenu lakini mpenzi!!

yani mwanaume umbo la fimbo halafu mwanamke mbuyu!

then mvaliane??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…