nsee a muro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 241
- 124
Sioni kama ni jambo la ajabu mkuu...avae saa, ajipulizie uturi wangu whatever!!!
Ila midume angalieni msivae kanga, vitenge n.k vya wake zenu...hatareee
am a lady and am in my man shirt,ndio nikajiuliza mwanaume anakua anajisikiaje anapomkuta mrs kavaa hvo?!!
kuna muda wa kuvalishwa kanga na vitenge mtani!ehehehhehehhehe
hii imejipost!
mwanaume mwenye kitambi na chest hair kavaa kanga kiunoni imeandikwa ''ninachompa hawezi kupata kwingine''
inategemeana na maumbo yenu lakini mpenzi!!
yani mwanaume umbo la fimbo halafu mwanamke mbuyu!
then mvaliane??
kuna muda wa kuvalishwa kanga na vitenge mtani!ehehehhehehhehe
hii imejipost!
halafu unakuta kitenge chenyewe kina maua ya kosrosho, ama khanga yenyewe ina mji.
halafu watoto wako kwa bibiiiiiiiiii, ni mchana mmesha kula nguna yenu mkekani, mmepumzika................halafu pasina haraka unaanza uchokozi................
Diii nikuulize swali??
Uliza tu hny!
Hivi umeyaona haya maua ya korosho kwenye kanga ulovaa?? waijua maana yake??
kinafwata kibao cha uchokozi hapana bwana mi stakiiiii<<>>>>>>>>>>>>>>>>
jamani kuna mtu kaniandikia sio mimi

Hahaha...mna visa watu lol
hahahaa maana ua korosho!??!
i think i will to PM you...My man used to love it when I'd wear his clothes.AND as FOR ME I like wearing his big shirt with nothing
on the bottom but panties I find it so LOVELY/SEXY.yaani acha tu
I used to love waring his shirt when I cooked up something for us to eat,wen we watch movie etc...rahaje
I think it can be very sexy. To wear it and go out ... not so sexy!
i think i will to PM you...
Umeshawahi kukutana na hili?utajisikiaje/unajiskiaje unavyorud nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako?
Au akaomba kuvaa saa yako wakat anatoka!
Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?