Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kazi ya Mwenyekiti wake wa mtaa baada ya kuapishwa. Wanasimamia kuvunja HAKI za watuWanabodi
Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pendo akiomba msaada wa haraka,anavunjiwa kibanda chake cha kuishi eneo la Tageta Machinjioni。
Anaomba media tupaze sauti wenye mamlaka wasikie wamsaidie kumnusuru。
Please tumsaidie huyu Mtanzania mwenzetu ambaye ni masikini wa kutupwa ambaye pia ni single mother wa watoto wawili。
Saa hii, anavunjiwa banda lake hapo Tageta Machinjioni na mtu anayedai ndie mmiliki wa banda hilo。
Number yake ni 0656104986,kama kuna mtu anaweza。kusaidia lolote please do。
Paskali
CC Waziri Gwajima
P
PengineWenyeviti wameanza utekelezaji
Ila Pasikali sijui nini kimekusibu! Wewe ni wakili msomi ume graduate miaka siyo mingi nilidhani saa hii umeshafika mahakamani kuweka zuio nawe unakuja mbioo humu jf kulalamika?Wanabodi
Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pendo akiomba msaada wa haraka,anavunjiwa kibanda chake cha kuishi eneo la Tageta Machinjioni。
Anaomba media tupaze sauti wenye mamlaka wasikie wamsaidie kumnusuru。
Please tumsaidie huyu Mtanzania mwenzetu ambaye ni masikini wa kutupwa ambaye pia ni single mother wa watoto wawili。
Saa hii, anavunjiwa banda lake hapo Tageta Machinjioni na mtu anayedai ndie mmiliki wa banda hilo。
Number yake ni 0656104986,kama kuna mtu anaweza。kusaidia lolote please do。
Paskali
CC Waziri Dkt. Gwajima D
Watanzania wakiingilia kati kuna watu watakufa hapo, halafu Muliro aanze kubwekabweka. Au unataka Muliro akuite ofisini kwake kwa kosa la kutumia mitandao kuhimiza watu kuchukua hatua?Wanabodi
Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pendo akiomba msaada wa haraka,anavunjiwa kibanda chake cha kuishi eneo la Tageta Machinjioni。
Anaomba media tupaze sauti wenye mamlaka wasikie wamsaidie kumnusuru。
Please tumsaidie huyu Mtanzania mwenzetu ambaye ni masikini wa kutupwa ambaye pia ni single mother wa watoto wawili。
Saa hii, anavunjiwa banda lake hapo Tageta Machinjioni na mtu anayedai ndie mmiliki wa banda hilo。
Number yake ni 0656104986,kama kuna mtu anaweza。kusaidia lolote please do。
Paskali
CC Waziri Dkt. Gwajima D
Mkuu @pre form one, kwanza asante kwa kupiga tuu hiyo simu,japo ni kweli saa hii hiyo simu haipatikani tena,lakini kitendo tuu cha kumpigia,ni faraja tosha utabarikiwa。Mbona namba umetoa haipatikani?
Mkuu case kama hizi zipo nyingi sana,unyama na unyanyasaji is everywhere,tena zaidi ya huyu,why hii iwe so special??Wanabodi
Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pendo akiomba msaada wa haraka,anavunjiwa kibanda chake cha kuishi eneo la Tageta Machinjioni。
Anaomba media tupaze sauti wenye mamlaka wasikie wamsaidie kumnusuru。
Please tumsaidie huyu Mtanzania mwenzetu ambaye ni masikini wa kutupwa ambaye pia ni single mother wa watoto wawili。
Saa hii, anavunjiwa banda lake hapo Tageta Machinjioni na mtu anayedai ndie mmiliki wa banda hilo。
Number yake ni 0656104986,kama kuna mtu anaweza。kusaidia lolote please do。
Paskali
CC Waziri Dkt. Gwajima D
Utawekaje temporary injunction/zuio la muda Leo jumamosi?Ila Pasikali sijui nini kimekusibu! Wewe ni wakili msomi ume graduate miaka siyo mingi nilidhani saa hii umeshafika mahakamani kuweka zuio nawe unakuja mbioo humu jf kulalamika?
Shule za CCM hazina msaada kwa kweli, rudisha tuu hicho cheti cha sheria uwe unabwabwaja tuu humu mtandaoni.
Wanabodi
Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pendo akiomba msaada wa haraka,anavunjiwa kibanda chake cha kuishi eneo la Tageta Machinjioni。
Anaomba media tupaze sauti wenye mamlaka wasikie wamsaidie kumnusuru。
Please tumsaidie huyu Mtanzania mwenzetu ambaye ni masikini wa kutupwa ambaye pia ni single mother wa watoto wawili。
Saa hii, anavunjiwa banda lake hapo Tageta Machinjioni na mtu anayedai ndie mmiliki wa banda hilo。
Number yake ni 0656104986,kama kuna mtu anaweza。kusaidia lolote please do。
Paskali
CC Waziri Dkt. Gwajima D
Ukiwa ccm unaweza fanya lolote. Jpm aliyaondoa haya ndio maana hata ccm wenyewe walimchukiaWanabodi