Mwanamke mbinafsi hua mnaishi nae vipi??

Dawa yao ni kuwatelekeza tu
 
Mkuu .demu Kama ILO hata Mimi ninalo.


mwamba pesa yake haitoki kuna wakati mpaka anakera .
 
Pia msisahau na kunywa bia wazee
 
Upendo wangu unge FADE toka muda huoo.
 
Hatareee sanaa mkuu
 
Yaani huu ndio ukweli wenyewe halisia..
 
Wanawake wote ni selfish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…