Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,620
- 6,780
😂😂😂Mpk sasa hela zangu nalala nazo mfukoni nazitoa zikiwa mfukoni huko huko najua hii ni buku, hii ni ten, hii. ni mia mia mbili,
Hela akauze ndizi mabibo huko
😂😂😂Mpk sasa hela zangu nalala nazo mfukoni nazitoa zikiwa mfukoni huko huko najua hii ni buku, hii ni ten, hii. ni mia mia mbili,
Hela akauze ndizi mabibo huko
Ninazo hata hizo pesa basi 😅😅 mapenzi yafutwe tu bia tamu...Oa pesa shindii🤣🤣🤣
Wewe wape tu cha juu, mapenzi yatajiujua bwana🤣🤣Shindii wamama wakichaga wanataka cha juu mda wote, ukiwachekea utawaharibia mapenzi yao kwa wame zao.
KabisaaHahahaha sisi tunywe pombe tu tuwaachie mwenye pesa zao
Afu mm sijawahi paniki Ila sipend single Maza watupiwe lawama wakati mtu angekuwa na uwezo wa kuvaa kondomu au kumwaga njeMbona leo umepaniki sana 😂😂
Mama yangu ana macho ya pesa kinouma., now ni 78+ ila bado tamaa ipo😆😆😆Wewe wape tu cha juu, mapenzi yatajiujua bwana🤣🤣
Wewe timu single mazaaaAfu mm sijawahi paniki Ila sipend single Maza watupiwe lawama wakati mtu angekuwa na uwezo wa kuvaa kondomu au kumwaga nje
Sasa mkuu naomba dollari zangu basi fanya hata ten nile 😂
Hahaha 😂 yaani mpka Maza anasema ushakuwa na tabia kama ya babako😂😂😂
Hapana bruh nimelelewa na wazazi wote wawili wala hawajawahi kuachana, na bado nashukuru Mungu wapo haiWewe timu single mazaaa
Umepigaje hapo?Huyo mwana mmoja dereva wa Bajaj ni Wewe.
Mkatukumeni Mbamizwa.Hapana bruh nimelelewa na wazazi wote wawili wala hawajawahi kuachana, na bado nashukuru Mungu wapo hai
Ila nimeshakuwa karibu na familia ambazo ni single parents, ko naelewa , nikiona mnawapondea inakuwa sio fair hata kidogo
Mimi ni mbamizajiMkatukumeni Mbamizwa.
Bwashee kumbe hujaoa wakati kuna mashangazi yapo humu jamiiforums yanadhurula ovyo yanasaka mikuyenge!Kiukweli mimi kwenye kuoa kitu kinanitisha ni kuhusu pesa wanawake wanaonaga, pesa zote zina chapa yaoðŸ˜ðŸ˜
Acha kupekua vitu vya mkeo....Hela ya mwanamke usiipigie hesabu atatoa akitaka.Kuna mwana mmoja dereva wa bajaj, sasa kuna usiku mmoja alikesha ila biashara haikuwa nzuri. Asubuhi mkewe anataka hela ya pampas, akamwambia kama ana kaakiba akanunue, ila mchana akiingia mzigoni atampa, demu kakomaa ila jamaa akambembeleza, baadae akamfunga mtoto vikanga.
Sasa mwana siku hiyo alichelewa kuamka halafu simu, alijitupia alivyo rudi usiku wa jana, mke kaenda kununua vitafunio. Mwamba tafuta sana simu yake wapi, vurugua kitanda, kwenye makochi, upande wake kabatini ila wapi.
Akasema ngoja aangalie upande wa mkewe, kupekua pekua anakutana 1.2m, anamuuliza mkewe kwa aibu anadai mzee wao aliuza kiwanja alimpa kila mtu 1.5m kwa hiyo yeye kishatumia 300k kabakiwa na hiyo 1.2m, mwana alichoka, yaani mkewe kutoa mia tano kwenye 1.2m ya pampas alishindwa.
Hapana bhana sio vizuri kusema hivyo , humu kila mtu anakuja kwa mambo yake tofauti , hivyo naona tujadili hoja tu na sio kushambua mtu binafsi na haki na uhuru wake.Bwashee kumbe hujaoa wakati kuna mashangazi yapo humu jamiiforums yanadhurula ovyo yanasaka mikuyenge!
Unakwama wapi Bwashee?
Sawa bhnaHapana bruh nimelelewa na wazazi wote wawili wala hawajawahi kuachana, na bado nashukuru Mungu wapo hai
Ila nimeshakuwa karibu na familia ambazo ni single parents, ko naelewa , nikiona mnawapondea inakuwa sio fair hata kidogo
Bia tamu sana shida ni ugali tu 😂😂😂Bro bia tamu 👉😆
HahahahaBia tamu sana shida ni ugali tu 😂😂😂