Mwanamke mbinafsi hua mnaishi nae vipi??

Mwanamke mbinafsi hua mnaishi nae vipi??

Sema Kuna me wana upendo wa dhati kwa babe mama zao aseeh
Upendo unabidi uwe kama double edged sword ⚔️

Sio upendo wa upande mmoja hapo hakuna mapenzi.

Pia it's better mtu akupende jinsi ulivyoo WAKATI mwingine sisi wanaume wengi hudanganya wanawake ili uwapate ama kuwaoa kwa ulaghai utapeli mwisho huwaga ni mbayaa sanaa
 
Ndio maana naaamini Mungu kuumba mke wa Adam aliyeitwa Lilith...huyo ni shiida.

Ndio kina Lucifer aaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom