min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
😆 mapenzi yafutwe Evelyn SaltMpk sasa hela zangu nalala nazo mfukoni nazitoa zikiwa mfukoni huko huko najua hii ni buku, hii ni ten, hii. ni mia mia mbili,
Hela akauze ndizi mabibo huko
😆 mapenzi yafutwe Evelyn SaltMpk sasa hela zangu nalala nazo mfukoni nazitoa zikiwa mfukoni huko huko najua hii ni buku, hii ni ten, hii. ni mia mia mbili,
Hela akauze ndizi mabibo huko
Mchaga na pesaKiukweli mimi kwenye kuoa kitu kinanitisha ni kuhusu pesa wanawake wanaonaga, pesa zote zina chapa yaoðŸ˜ðŸ˜
Sio woteHakuna kitu km hiko, single Maza kaingia vipi hapo,
Afu mwanamke aliyelelewa na single Maza hawezi kaa akitegemea kupewa hata km kaolewa fanya tafiti utapata majibu,
Washafundishwa kujitafutia pasi na kuona mtu nyuma yao...... wanaujua uvumilivu na kupata,
Wanawake na pesa wachaga zetu mbegeMchaga na pesa
Mambo yanaenda bam bam 😂Wanawake na pesa wachaga zetu mbege
Mapenzi yanavurugwa na pesa mkuuMambo yanaenda bam bam 😂
Leo hujamuita broh 😂😆 mapenzi yafutwe Evelyn Salt
Mwingine anakuambia mapenzi utundu 😂Mapenzi yanavurugwa na pesa mkuu
Kabisa anaependa anyongwe😆 mapenzi yafutwe Evelyn Salt
Ungetumia neno baadhi Ila uki include wote hakuna tafiti ya hivyoSio wote
Hahah bro wetu sote bwasheeLeo hujamuita broh 😂
Hahaha Ila nshawah ona anatafuta mubabazi humu yapata miaka 13 iliyopitaHahah bro wetu sote bwashee
Bro bia tamu 👉😆Kabisa anaependa anyongwe
Utundu au ujinga bila pesa tuachane nayo tu bwasheeMwingine anakuambia mapenzi utundu 😂
Mbona leo umepaniki sana 😂😂Ungetumia neno baadhi Ila uki include wote hakuna tafiti ya hivyo
😂😂😂 kwanza hakuna mwenye pesa ana ambiwa hana nguvuUtundu au ujinga bila pesa tuachane nayo tu bwashee
Dikteta uchwara🤣🤣🤣Mama alitaka apate bia tatu mbele ya mzee wakati wote nilisema mwisho mbili
Hahahaha sisi tunywe pombe tu tuwaachie mwenye pesa zao😂😂😂 kwanza hakuna mwenye pesa ana ambiwa hana nguvu
Oa pesa shindii🤣🤣🤣Kiukweli mimi kwenye kuoa kitu kinanitisha ni kuhusu pesa wanawake wanaonaga, pesa zote zina chapa yaoðŸ˜ðŸ˜
Shindii wamama wakichaga wanataka cha juu mda wote, ukiwachekea utawaharibia mapenzi yao kwa wame zao.Dikteta uchwara🤣🤣🤣