Mwanamke mbinafsi hua mnaishi nae vipi??

Hatareee sanaa mkuu
Na hii nyingn anakuibia kiaina ama mshahara wake hautoi kisa mwanaume ni provider anamiliki biashara zake kimya kimya wengine mpka nyumba,

Afu mtoto akiumwa Hana hata mia mbovu, ni lazima kweli akuangalie kichwa Cha familia Ila unakuta wakati huo jamaa nae bila bila,

Mm nikimbaini talaka tatu,
 
Mwana una kosa jero la Pampas, utaweza pata ya vyupi vya mkeo kweli,
 
Ni kufukuzaa maana huyo anaweza kukuua kabisa.
 
Mnoana kama ni mke wako?
 
Ni kufukuzaa maana huyo anaweza kukuua kabisa.
Kuna wakati familia mambo yanagoma Ila kwakua bi mkubwa ana hekima ana cover hiyo part na unakuta hata ni issue za ada, na mambo mengine kama hayo,

Niliambiwa ikiwa umeleta mtoto duniani, tambua hakuna mtoto anayezaliwa na mzazi mmoja, ni wazazi wawili...... Hivyo jukumu la kumlea na kumtunza ni la wawili,

Sasa Hawa wenye ubinafsi ety kalalia mamilioni kuyapasha joto, afu unasikia vumilianeni,

Upuuzi mtupu
 
Inauma sanaa sanaa
 
Zao la single mother iloo acha
Hakuna kitu km hiko, single Maza kaingia vipi hapo,

Afu mwanamke aliyelelewa na single Maza hawezi kaa akitegemea kupewa hata km kaolewa fanya tafiti utapata majibu,

Washafundishwa kujitafutia pasi na kuona mtu nyuma yao...... wanaujua uvumilivu na kupata,
 
Kiukweli mimi kwenye kuoa kitu kinanitisha ni kuhusu pesa wanawake wanaonaga, pesa zote zina chapa yao😭😭
Mpk sasa hela zangu nalala nazo mfukoni nazitoa zikiwa mfukoni huko huko najua hii ni buku, hii ni ten, hii. ni mia mia mbili,

Hela akauze ndizi mabibo huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…