Mwanamke mbinafsi hua mnaishi nae vipi??

Afu mm sijawahi paniki Ila sipend single Maza watupiwe lawama wakati mtu angekuwa na uwezo wa kuvaa kondomu au kumwaga nje

Sasa mkuu naomba dollari zangu basi fanya hata ten nile πŸ˜‚
Wewe timu single mazaaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha πŸ˜‚ yaani mpka Maza anasema ushakuwa na tabia kama ya babako

Yaani me bhn ela yangu afu hasa manzi aitake killazima kivip yaani,

Hela ngumu maninaa, haziokotwi yaan mpka unatokwa na jasho kwenye mbupu masihara nn
 
Hapana bruh nimelelewa na wazazi wote wawili wala hawajawahi kuachana, na bado nashukuru Mungu wapo hai

Ila nimeshakuwa karibu na familia ambazo ni single parents, ko naelewa , nikiona mnawapondea inakuwa sio fair hata kidogo
Mkatukumeni Mbamizwa.
 
Acha kupekua vitu vya mkeo....Hela ya mwanamke usiipigie hesabu atatoa akitaka.
Yeye kaona sawa mtoto avae khanga tu
 
Bwashee kumbe hujaoa wakati kuna mashangazi yapo humu jamiiforums yanadhurula ovyo yanasaka mikuyenge!

Unakwama wapi Bwashee?
Hapana bhana sio vizuri kusema hivyo , humu kila mtu anakuja kwa mambo yake tofauti , hivyo naona tujadili hoja tu na sio kushambua mtu binafsi na haki na uhuru wake.
 
Hapana bruh nimelelewa na wazazi wote wawili wala hawajawahi kuachana, na bado nashukuru Mungu wapo hai

Ila nimeshakuwa karibu na familia ambazo ni single parents, ko naelewa , nikiona mnawapondea inakuwa sio fair hata kidogo
Sawa bhna
 
Huyo nae boya tu
Sasa badala ashukuru atasave parefu kwa kufunga mtoto kanga nalalamika nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…