Mwanamke miaka 40’s, nahitaji mume

Miaka 40 bado binti mdogo usikimbilie kuolewa sibiri subiri kidogo hata miaka 10 ijayo
 
Wewe bikra?
 
HIV imenikosesha mke 😭😭😭😭
 
Mhh!
Sio kweli.
Mwanaume anaanza kutafuta wa kumuoa akiwa chini ya mika 20, sasa kama anaendelea kutafuta mpaka mwaka wa 40 yaani miaka 20 mbele ujue huyo hata aje mwanamke mkamilifu kiasi gani bado ataona hafai
Chini ya 20
Wengine ht hiyo akili Hawana kwanza muda huo
 
Ushindi ni dhidi ya vikwaazo vyote namaanisha vyote na hayo ndio maisha halisi!
 
Utapata watu wanatengana, wanakaa nje miaka mingi wakirudi wanakosa watu. Watu wanafiwa pia usihofu utapata unayefanana nawe.
 
Unahitaji au unaomba, waoaji tupo wengi sana kikubwa heshima
 
Dah! Aisee! Umeanzia mbali sana kwenye suala la umri!
 
Ujana umeula na nani utake kumbebesha mzigo wa wengine mwengine mwanangu? Haifai.
 
Scraper linatafuta new owner

After 22 years of hard work and mental tormenting now the scraper is ready to decommission

But the machine wants a host to treat it like a new machine

MS-DOS MNA SHIDA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…