Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Hahaha daah chakula chenyewe tunapata kibahati ukipata unafakamia kwelikweli unajaza tumbo tuonane kesho[emoji16][emoji16] anyways nitajaribu
 
Hahahaha umenichekesha. Ukimwacha tu atakonda na stress umtamani tena

Sent From Galaxy S9
Kila nkitaka kumwacha huwa anantumia msg kali hyo namuonea huruma tunaendelea,nshajarib sana kumwacha nashindwa,sometime anakuta picha za main chick, na ma x wazaman sabab mi huwa sifutag picha za madem zangu wote niliokua nao,ataliaaa hapo,badae tuko fresh,.ndomana nasemaga mim hata nkija mwcha huyu ntahakikisha namwacha kwenye mazingira mazur,namfungulia biashara ya uhakika yan,ila kuwa nae milele siwez,hanivutii kabisaaa skuhiz
 
Hiyo slimming tea haikufanyi uharishe...maaana Mimi nataka kupuguza kitambi na kilo zangu 80 nimezichoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ananikera,af akili hana,week hii aliniomba hela ya saloon anataka kwenda kunyoa nywele zmemchosha,..si kaja kapiga panki halaf ka bleach kwa mbali nusu nimfukuze,stakag ujinga,kimoyo moyo nkamwambia utaendelea kuwa side chick milele
Hee Siku hizi naona Ni trend wadada kunyoa pank na kuweka bleach..naona Ina trend IG.. ila Napoleone muache buana usiendelee kumuumiza mwenzako usikute anakupenda Sana...kumbe wewe hakuvutiii kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes. Kitu kikiuzwa insta mara nyingi bei inakua ya kilanguzi. Nimeona wanatangaza slimming tea Tsh 30,000 insta wezi jaman[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent From Galaxy S9
Cheap is expensive bby
 
Mmewahi kukutana na kakitu kafupi afu kanene afu kamevaa nguo imetight....?
Unaweza katupa kwenye dust bin walahi....
 
Kwahyo unataka kusema jamaa hana mwanamke mwingne,mim huyu side chick niko nae had leo sabab ya huruma tuu,namwonea huruma kumwacha,analiaga sana
Huyo main chick ni mnene? Mbona yeye sio mnene na uko na mwanamke mwingine? Kuwa ana mwanamke mwingine au hana kwa vyovyote ni suala ambalo halihusiani ni mimi niko vipi. Kwa vyovyote vile nitakavyokuwa kama mtu wangu ana tabia ya kuchepuka atachepuka tu
 
Ni huruma tu, au limbwata. [emoji1493]‍[emoji3603][emoji1493]‍[emoji3603][emoji1493]‍[emoji3603]
Nimeona dua lako pale juu, kamwe halitatimia
 
Mimi ni side chick napendwa mbaya na maisha naenjoy namimi nikanene balaah ! Sikatai inaboa kunawanene wamezidi kweli ila usiwapondee tafuta ukipendacho kama mimi wangu ni chembamba hadi raha .
Sasa ikute wewe nikanene unaboa na yeue akiwa mnene.
 
Duuuh ngoja niendeleze libeneke la kupungua...umenimotivate kwakweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmewahi kukutana na kakitu kafupi afu kanene afu kamevaa nguo imetight....?
Unaweza katupa kwenye dust bin walahi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani

Sent From Galaxy S9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…