Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hahaha daah chakula chenyewe tunapata kibahati ukipata unafakamia kwelikweli unajaza tumbo tuonane kesho[emoji16][emoji16] anyways nitajaribuUnaweza my dear...sio kwamba unakula.nyama badala ya maandazi mawili kula Moja..sukari nusu kijiko..Yaaani portion control. You can do it.. Mimi nilinenepa 2018 Kuna Dawa niliandikiwa hospital nlitoka kilo 64 Hadi 94 imagine...ndani ya mwaka mmoja..so Saiv napambana na kurudisha mwili
Sent using Jamii Forums mobile app