Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Unaweza my dear...sio kwamba unakula.nyama badala ya maandazi mawili kula Moja..sukari nusu kijiko..Yaaani portion control. You can do it.. Mimi nilinenepa 2018 Kuna Dawa niliandikiwa hospital nlitoka kilo 64 Hadi 94 imagine...ndani ya mwaka mmoja..so Saiv napambana na kurudisha mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha daah chakula chenyewe tunapata kibahati ukipata unafakamia kwelikweli unajaza tumbo tuonane kesho[emoji16][emoji16] anyways nitajaribu
 
Hahahaha umenichekesha. Ukimwacha tu atakonda na stress umtamani tena

Sent From Galaxy S9
Kila nkitaka kumwacha huwa anantumia msg kali hyo namuonea huruma tunaendelea,nshajarib sana kumwacha nashindwa,sometime anakuta picha za main chick, na ma x wazaman sabab mi huwa sifutag picha za madem zangu wote niliokua nao,ataliaaa hapo,badae tuko fresh,.ndomana nasemaga mim hata nkija mwcha huyu ntahakikisha namwacha kwenye mazingira mazur,namfungulia biashara ya uhakika yan,ila kuwa nae milele siwez,hanivutii kabisaaa skuhiz
 
I was really fat. Nilikua na kilo 80 hivi. Then nikaanza kutumia hiyo slimming tea pamoja na mazoezi ya hapa na pale saivi nina kilo 58 na nimeweza ku maintain kwa miaka mi4 hivi. Siku nikila sana nakunywa zangu slimming tea nalala. Baada ya mda hata hamu ya kula inapotea. Siku hizi situmii sana. Yani jeans niliyonunua toka 2016 mpaka leo bado inanitosha [emoji23]

Sent From Galaxy S9
Hiyo slimming tea haikufanyi uharishe...maaana Mimi nataka kupuguza kitambi na kilo zangu 80 nimezichoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ananikera,af akili hana,week hii aliniomba hela ya saloon anataka kwenda kunyoa nywele zmemchosha,..si kaja kapiga panki halaf ka bleach kwa mbali nusu nimfukuze,stakag ujinga,kimoyo moyo nkamwambia utaendelea kuwa side chick milele
Hee Siku hizi naona Ni trend wadada kunyoa pank na kuweka bleach..naona Ina trend IG.. ila Napoleone muache buana usiendelee kumuumiza mwenzako usikute anakupenda Sana...kumbe wewe hakuvutiii kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmewahi kukutana na kakitu kafupi afu kanene afu kamevaa nguo imetight....?
Unaweza katupa kwenye dust bin walahi....
 
Kwahyo unataka kusema jamaa hana mwanamke mwingne,mim huyu side chick niko nae had leo sabab ya huruma tuu,namwonea huruma kumwacha,analiaga sana
Huyo main chick ni mnene? Mbona yeye sio mnene na uko na mwanamke mwingine? Kuwa ana mwanamke mwingine au hana kwa vyovyote ni suala ambalo halihusiani ni mimi niko vipi. Kwa vyovyote vile nitakavyokuwa kama mtu wangu ana tabia ya kuchepuka atachepuka tu
 
Mimi ni side chick napendwa mbaya na maisha naenjoy namimi nikanene balaah ! Sikatai inaboa kunawanene wamezidi kweli ila usiwapondee tafuta ukipendacho kama mimi wangu ni chembamba hadi raha .
Sasa ikute wewe nikanene unaboa na yeue akiwa mnene.
 
Akil hana,..huyu ni side chick wangu kitambo sana,alikuaga mzur sana zaman anasura nzur n shape nzur sana,sasa ndan ya hii miaka miwil amekua kifutu kama nyoka kfutu,namwambia kila siku,mama,hips sizion tena,tako silion tena,maziwa ndo yamepanda juu utafkir nin,mashavu,daaaah,..anasema ntapungua,kila siku ntapungua,sema uzur wake linanipenda sana,na kumwacha namwonea huruma,yaan niko nae had leo sabab ya huruma tuu,
Duuuh ngoja niendeleze libeneke la kupungua...umenimotivate kwakweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmewahi kukutana na kakitu kafupi afu kanene afu kamevaa nguo imetight....?
Unaweza katupa kwenye dust bin walahi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani

Sent From Galaxy S9
 
Back
Top Bottom