Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Una kitambi au hauna?.
 
Kwahyo sisi wanene tuende wapi ss
Njoo kwangu ninyi nyoote msimbuliwao na kuonwa ni mizigo , nami nitawapumzisha. Kwa maana mizigo yenu kwangu ni myepesi na viuno vyenu kwangu ni laini nanyi mtapata raha nafsini mwenu.

NB.
Nani alisema vibonge hawapigi miunoo????
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji119] chi chi
 
Vipi kuhusu magumegume mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakulaje mifupa wakati minofu ipo.Hiyo sera unaitoa wapi.Mwanamke mnene ndiyo kila kitu unadate na kimtu chembamba tena kifupi hadi kinapotea kwenye mablanketi unaanza kukutafuta au unakikalia kitandani unadhani ni blanketi kumbe mtu kalala.
Wanene woyeeeeee nyie ndo kila kitu pambo la Mungu duniani. Si kwamba wembamba hamfai hapana nanyi mna kazi yenu maalumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…