LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Una kitambi au hauna?.Ushauri tu kwa dada zangu, sasa ndo nimeelewa kwanini wazungu wana criteria za mwanamke mzuri aweje.
Mwanamke mwembamba kama mamiss wale akiongezeka kdogo si mbaya ila asiwe mnene kabisa.
Mwanamke ukiwa mnene unakata stimu, ushauri huu uzingatiwe na dada zetu. Yaani stimu znakwisha kabisa hata ujirembe vipi, hata ujisexishe vipi, mwanamke mnene ukishalala nae ukakaa nae wiki tuu ushamchoka sasa sjui waliooa na wanawake wao sasa ni vibonge wanaishije, mimi sidechick tu ananipa kero.