Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,949
Apple cider umetumia piaNdio miili migumu ndo kama hiii 70kg nikipungua saaana ni 65
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apple cider umetumia piaNdio miili migumu ndo kama hiii 70kg nikipungua saaana ni 65
Hatari wanga haufai kabisaHahaha licha ya kukonda hata plan ya diet haufati
[emoji23][emoji23][emoji23].mkuu nimecheka sana aisee. yaani narudia kusoma nacheka sana!!Aise hili ni janga la taifa. Ni kweli wanawake wanene hawana steam kabisa. Ulichosema nakibariki 100%. Hawa wanapendeza tu kuwa side chick ila ukiweka ndani unaweza kujihisi una upungufu wa nguvu za kiume kumbe ni wao. Hawafai kukumbatia, usiku hamuwezi kushare shuka, kitu ni mbuyu.
Haki naapa kinachonitoa nje ya ndoa yangu ni unene wa mke wangu. Kipindi namchumbia alikuwa tu wastani japo alionesha kuwa na dalili za unene, akajifanya nae haupendi atafanya mazoezi. Tangu nimemuhakikishia maisha hataki kusikia neno mazoezi wala balance diet, michips, miwali anafakamia kama mchwa mpaka huwa nasikitika hivi huyu ana mpango gani?
Kuna mamake akija ananilaumu vipi mbona unamwacha ananenepa hivi? Namuuliza vipi mama nimshindishe na njaa? Yaani kosa mwanangu ningekuwa nishapiga chini ila nimenasa, mwanangu nampenda sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nilitumia kama mara mbili hivi. It's bad yani tumbo linakata kinoma huo usiku nilishindwa kulala alafu nikienda chooni hakuna kinachotoka... simshauri mtu i think sio nzuri kwa afya.Ww ushawahi niko curious kujua ilikuaje......
Haha hapo ndo usiseme nmetumia ya american garden
Kwahyo haukushusha kilo?!Ndio nilitumia kama mara mbili hivi. It's bad yani tumbo linakata kinoma huo usiku nilishindwa kulala alafu nikienda chooni hakuna kinachotoka... simshauri mtu i think sio nzuri kwa afya.
Sent From Galaxy S9
Nawaza hizi cofffe za edmark japo ni ghaliNdio nilitumia kama mara mbili hivi. It's bad yani tumbo linakata kinoma huo usiku nilishindwa kulala alafu nikienda chooni hakuna kinachotoka... simshauri mtu i think sio nzuri kwa afya.
Sent From Galaxy S9
Haha hapo ndo usiseme nmetumia ya american garden
Kunywa sana mwaka jana
Hamna niliacha katikati. Kuna hii ni nzuri sana. Inapatikana kwenye pharmacy kubwa. Nilikua nanunua kariakoo.Kwahyo haukushusha kilo?!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pumbav sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wenye kitambi na nyie mnakulaga nn? Rushwa?
Sent From Galaxy S9
Hizo sijawahi kutumia tho naona zina promoNawaza hizi cofffe za edmark japo ni ghali
wazungu hizi starehe wamezifanya sana na kuzifanyia hata tafitiUshaur tuu kwa dada zangu,sasa ndo nmeelewa y wazungu wana criteria za mwanamke mzur aweje,,mwanamke mwembamba,kama mamiss wale etc,akiongezeka kdogo si mbaya ila asiwe mnene kabisaaa
Mwanamke ukiwa mnene unakata stim kabisaa ,ushaur huu uzingatiwe na dada zetu,
Yaan stim znakwisha kabisa anakua kama,hata ujirembe vip,hta ujisexishe vip,mwanamke mnene ukishalala nae ukakaa nae wik tuu ushamchoka sasa sjui waliooa na wanawke wao sasa ni vibonge wanaishije,mim sidechick tuu ananipa kero
Uz tayar,nmeandika haraka haraka sana
Sasa huyo anasema eti sisi tunakula watoto wa watu [emoji23][emoji23][emoji23]. Pumbavu zake na yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pumbav sana
Ulitumia ngapi hiziHamna niliacha katikati. Kuna hii ni nzuri sana. Inapatikana kwenye pharmacy kubwa. Nilikua nanunua kariakoo.View attachment 1408936
Sent From Galaxy S9
Unaharisha kiaina. Kama unaanza sawa ila baadae ikikuzoea hata huarishi sana. Atlist hii ipo approved ukilinganisha na hizi zinazo tengenezwa kienyeji. Bei ilikua Tsh 14000. Sijui kama zimepanda now.
Wapi sasa mkuuUsijal maelekezo umepataaa
Thanks hii ni nzuri naonaUnaharisha kiaina. Kama unaanza sawa ila baadae ikikuzoea hata huarishi sana. Atlist hii ipo approved ukilinganisha na hizi zinazo tengenezwa kienyeji. Bei ilikua Tsh 14000. Sijui kama zimepanda now.
Sent From Galaxy S9
Kumbe hata bei yake ni affordable kiasi hichoUnaharisha kiaina. Kama unaanza sawa ila baadae ikikuzoea hata huarishi sana. Atlist hii ipo approved ukilinganisha na hizi zinazo tengenezwa kienyeji. Bei ilikua Tsh 14000. Sijui kama zimepanda now.
Sent From Galaxy S9