Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Aise hili ni janga la taifa. Ni kweli wanawake wanene hawana steam kabisa. Ulichosema nakibariki 100%. Hawa wanapendeza tu kuwa side chick ila ukiweka ndani unaweza kujihisi una upungufu wa nguvu za kiume kumbe ni wao. Hawafai kukumbatia, usiku hamuwezi kushare shuka, kitu ni mbuyu.

Haki naapa kinachonitoa nje ya ndoa yangu ni unene wa mke wangu. Kipindi namchumbia alikuwa tu wastani japo alionesha kuwa na dalili za unene, akajifanya nae haupendi atafanya mazoezi. Tangu nimemuhakikishia maisha hataki kusikia neno mazoezi wala balance diet, michips, miwali anafakamia kama mchwa mpaka huwa nasikitika hivi huyu ana mpango gani?

Kuna mamake akija ananilaumu vipi mbona unamwacha ananenepa hivi? Namuuliza vipi mama nimshindishe na njaa? Yaani kosa mwanangu ningekuwa nishapiga chini ila nimenasa, mwanangu nampenda sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23].mkuu nimecheka sana aisee. yaani narudia kusoma nacheka sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww ushawahi niko curious kujua ilikuaje......
Ndio nilitumia kama mara mbili hivi. It's bad yani tumbo linakata kinoma huo usiku nilishindwa kulala alafu nikienda chooni hakuna kinachotoka... simshauri mtu i think sio nzuri kwa afya.

Sent From Galaxy S9
 
Kwahyo haukushusha kilo?!
 
Nawaza hizi cofffe za edmark japo ni ghali
 
Kwahyo haukushusha kilo?!
Hamna niliacha katikati. Kuna hii ni nzuri sana. Inapatikana kwenye pharmacy kubwa. Nilikua nanunua kariakoo.
278488_front.jpeg

Sent From Galaxy S9
 
Ushaur tuu kwa dada zangu,sasa ndo nmeelewa y wazungu wana criteria za mwanamke mzur aweje,,mwanamke mwembamba,kama mamiss wale etc,akiongezeka kdogo si mbaya ila asiwe mnene kabisaaa

Mwanamke ukiwa mnene unakata stim kabisaa ,ushaur huu uzingatiwe na dada zetu,

Yaan stim znakwisha kabisa anakua kama,hata ujirembe vip,hta ujisexishe vip,mwanamke mnene ukishalala nae ukakaa nae wik tuu ushamchoka sasa sjui waliooa na wanawke wao sasa ni vibonge wanaishije,mim sidechick tuu ananipa kero

Uz tayar,nmeandika haraka haraka sana
wazungu hizi starehe wamezifanya sana na kuzifanyia hata tafiti
mzungu akishasema kitu fulani hakifai jua kua 90% kina ukweli ndani yake
ivi mwanamke mnene unamkumbatiaje? making love with a fat woman ni shiida aiseee
mwanamke awe slim thick bhana😛😛😛😛
 
Unaharisha kiaina. Kama unaanza sawa ila baadae ikikuzoea hata huarishi sana. Atlist hii ipo approved ukilinganisha na hizi zinazo tengenezwa kienyeji. Bei ilikua Tsh 14000. Sijui kama zimepanda now.

Sent From Galaxy S9
Thanks hii ni nzuri naona
 
Unaharisha kiaina. Kama unaanza sawa ila baadae ikikuzoea hata huarishi sana. Atlist hii ipo approved ukilinganisha na hizi zinazo tengenezwa kienyeji. Bei ilikua Tsh 14000. Sijui kama zimepanda now.

Sent From Galaxy S9
Kumbe hata bei yake ni affordable kiasi hicho
 
Back
Top Bottom