katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Weweeeee acha uongo kabisaUmejuaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weweeeee acha uongo kabisaUmejuaje
Hahahaha, kibushuti au ? DahMmewahi kukutana na kakitu kafupi afu kanene afu kamevaa nguo imetight....?
Unaweza katupa kwenye dust bin walahi....
Ananipenda sanaaa,niko nae kwa kumuonea huruma tuu yan,ila hanivutii kabisaaaa..anapenda kuvaa vi kaptura,sasa anajibanaa ili asionekane kibonge,kuna siku nkamwambia mama utakuja kunijambia mbele za watu ,mara avae limkanda tumbon et la kupunguza tumbo,yaan tunaenda date anahema juu juu,sasa raha gan hyo,sasa hyo bleach ndo kaharib kabisa ,nmemwambia asije kwangu na bleach,kabak anatoa macho tu,tatzo umri sijui,akil hana kabisa,juz siku ya wajinga mim nilisahau,akanidanganya kitu kikubwa kwel af badae et leo siku ya wajinga,nkasema hiv mi na date na kichaa amaHee Siku hizi naona Ni trend wadada kunyoa pank na kuweka bleach..naona Ina trend IG.. ila Napoleone muache buana usiendelee kumuumiza mwenzako usikute anakupenda Sana...kumbe wewe hakuvutiii kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo upi mm nmeuliza swali tuWeweeeee acha uongo kabisa
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Baba Joseph tuliza munkari na kujifanya Shee Shariff majini unatabiri maisha ya watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilinunua mbili elfu 40...Mama akanisihi usitumie Kwani nilisikia...jamani kuhara kule kazini huendi ...wewe Ni chumbani na chooni TU.. kwakweli hapana.Ile dawa ni sumu . Bora TBS waichunguze. Kuna kipindi nilitaka kuwatumia TFDA maana dah. Mtu unaharisha mpaka unahisi utumbo unatoka[emoji23]
Sent From Galaxy S9
Unaonaje ukaenda kumwambia yeye huku ukiwa serious ssAnanipenda sanaaa,niko nae kwa kumuonea huruma tuu yan,ila hanivutii kabisaaaa..anapenda kuvaa vi kaptura,sasa anajibanaa ili asionekane kibonge,kuna siku nkamwambia mama utakuja kunijambia mbele za watu ,mara avae limkanda tumbon et la kupunguza tumbo,yaan tunaenda date anahema juu juu,sasa raha gan hyo,sasa hyo bleach ndo kaharib kabisa ,nmemwambia asije kwangu na bleach,kabak anatoa macho tu,tatzo umri sijui,akil hana kabisa,juz siku ya wajinga mim nilisahau,akanidanganya kitu kikubwa kwel af badae et leo siku ya wajinga,nkasema hiv mi na date na kichaa ama
Fanya hvo mkuuDuuuh ngoja niendeleze libeneke la kupungua...umenimotivate kwakweli..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawai kuwa na mtu kwasababu ya huruma..Labda namtumia nikiwa na hamu nae ...lakini Huruma Yaaani nakuonea Huruma...hata mpnz wangu wa Sasa nakaribia kumuacha kwasababu nimepata mwingine Siwezi kuwa nae eti namuonea hurumaa..hapanaKwahyo unataka kusema jamaa hana mwanamke mwingne,mim huyu side chick niko nae had leo sabab ya huruma tuu,namwonea huruma kumwacha,analiaga sana
Acha dhambi na acha uongo basi
Unajua unene upo mara 2,kuna ule unene wa Shep yaaani ukiangalia mguu huo yako hilo lkn hana kitambi nk,in kuna mwanamke mnene kama nn cjui kiuo hujui kilipo yaani daaah mpaka mwenyewe unashangaaa ,mwanamke awe na supu ndio raha banaa unafaidi ,mwanamke mtu mzima ana kilo 40 yaan huyo mwembambaaaa inakuwa sio poa kiviiiiile kifup mm napenda supu japo wembamba nao wana rahayakeUshaur tuu kwa dada zangu,sasa ndo nmeelewa y wazungu wana criteria za mwanamke mzur aweje,,mwanamke mwembamba,kama mamiss wale etc,akiongezeka kdogo si mbaya ila asiwe mnene kabisaaa
Mwanamke ukiwa mnene unakata stim kabisaa ,ushaur huu uzingatiwe na dada zetu,
Yaan stim znakwisha kabisa anakua kama,hata ujirembe vip,hta ujisexishe vip,mwanamke mnene ukishalala nae ukakaa nae wik tuu ushamchoka sasa sjui waliooa na wanawke wao sasa ni vibonge wanaishije,mim sidechick tuu ananipa kero
Uz tayar,nmeandika haraka haraka sana
Yani alafu huko kwenye group watu walikua wanatoa ushuhuda wanavyojinyea kama watoto [emoji23][emoji23][emoji23] nikajisemea hii balaa sasa.Nilinunua mbili elfu 40...Mama akanisihi usitumie Kwani nilisikia...jamani kuhara kule kazini huendi ...wewe Ni chumbani na chooni TU.. kwakweli hapana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona nimechanganya kuna mtu nilikuwa nimcommentie anasema wanene asilimia 99 ni wadangajiUongo upi mm nmeuliza swali tu
Hahaha ndo na mm nmemuuliza kajuajeNaona nimechanganya kuna mtu nilikuwa nimcommentie anasema wanene asilimia 99 ni wadangaji
Kama huyu sio [emoji23]Unajua unene upo mara 2,kuna ule unene wa Shep yaaani ukiangalia mguu huo yako hilo lkn hana kitambi nk,in kuna mwanamke mnene kama nn cjui kiuo hujui kilipo yaani daaah mpaka mwenyewe unashangaaa ,mwanamke awe na supu ndio raha banaa unafaidi ,mwanamke mtu mzima ana kilo 40 yaan huyo mwembambaaaa inakuwa sio poa kiviiiiile kifup mm napenda supu japo wembamba nao wana rahayake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew ni ke mim ni me mkuu,tofautisha,sis tunawahurimiaga sana.huonag ndoa nying wana wanafunga na madem wabovu kinoumer,Sijawai kuwa na mtu kwasababu ya huruma..Labda namtumia nikiwa na hamu nae ...lakini Huruma Yaaani nakuonea Huruma...hata mpnz wangu wa Sasa nakaribia kumuacha kwasababu nimepata mwingine Siwezi kuwa nae eti namuonea hurumaa..hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikuhitaji ili uwe main chick ukanitolea njeMimi ni side chick napendwa mbaya na maisha naenjoy namimi nikanene balaah ! Sikatai inaboa kunawanene wamezidi kweli ila usiwapondee tafuta ukipendacho kama mimi wangu ni chembamba hadi raha .
Sasa ikute wewe nikanene unaboa na yeue akiwa mnene.
Huyo KWELI umemchoka kabisa Yaaani. Kila afanyalo Ni baya. Yaaani unanikumbusha Mimi nilikua najijua ndo main chick kumbe side chick...mpaka mwanaume anaoa ndo nikajijua kuwa ndo side chick.nikapoteza Miaka yangu 5...kidogo Ni go crazy, kama bado mdogo usimpotezeee muda bure...muonee Huruma muache aende zake.Ananipenda sanaaa,niko nae kwa kumuonea huruma tuu yan,ila hanivutii kabisaaaa..anapenda kuvaa vi kaptura,sasa anajibanaa ili asionekane kibonge,kuna siku nkamwambia mama utakuja kunijambia mbele za watu ,mara avae limkanda tumbon et la kupunguza tumbo,yaan tunaenda date anahema juu juu,sasa raha gan hyo,sasa hyo bleach ndo kaharib kabisa ,nmemwambia asije kwangu na bleach,kabak anatoa macho tu,tatzo umri sijui,akil hana kabisa,juz siku ya wajinga mim nilisahau,akanidanganya kitu kikubwa kwel af badae et leo siku ya wajinga,nkasema hiv mi na date na kichaa ama
You are welcome.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
thanks for enlightening my mood walaqhi',
Kila nikimwacha anarud,anasura ya huruma,hachelew kulimwaga chozi mbele za watu hata mmekaa barHuyo KWELI umemchoka kabisa Yaaani. Kila afanyalo Ni baya. Yaaani unanikumbusha Mimi nilikua najijua ndo main chick kumbe side chick...mpaka mwanaume anaoa ndo nikajijua kuwa ndo side chick.nikapoteza Miaka yangu 5...kidogo Ni go crazy, kama bado mdogo usimpotezeee muda bure...muonee Huruma muache aende zake.
Sent using Jamii Forums mobile app