Mwanamke mpole na mtulivu sana

dawa ni kutoa ushungi tu ili ifahamike ana chogo ama la 🐒
 
Ushungi umekimbiza wachumba

Ukute Waislam walidhani ni mwenzao kuuliza kumbe sio na hana mpango wakubadili dini

Wakristo wanadhan muislam wanampitia mbali hawataki harakati za kubadilishana dini
Huyo ni mkatoliki na ni muumini mwaminifu ni wale ambao wanavaa rozari hivyo waislamu hawawezi kudhani ni mwislamu kwani rozari inaonekana waziwazi
 
Upole si sababu ya Mtu kuwa Binadamu, kinyume chake ni sawa na Mtu aliyezaliwa na ukarimu ila kihulka ni Mkali au Mkorofi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Well described, Mi ni mkarimu, ila kihulka ni mkali na mkorofi!

Usipojua kuchanganua hulka, you will get fooled easily.

Humanity is work.
 
Umeniwahi
unajua,in a way yes ni tangazo,ila najaribu kuonesha kuwa ndoa kwa sasa ni ngumu mno,hata kwa wadada wenye sifa nyingi nzuri,ila mimi sipo hapa kumuunganisha na mtu ndio maana,mtu akiomba namba ni mpaka huyo dada anipe ruhusa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…