fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
- Thread starter
- #21
hii nilimwambiaaanze kujitoa out na kuchangamana na watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii nilimwambiaaanze kujitoa out na kuchangamana na watu
Si ajabu ni mwanaeTangazo limekaa kisomi sana
akinipa ntakuunga naeWewe ndo mtu wa maaana
Ana masters ya mass communicationkasomea nini na anafanya kazi gani
Ni mfipaKabila ni gani?
Okeesiku.Nilishangaa mdada mzuri kama huyo kukosa mume,kweli hata mie roho inaniuma sana
hapana,mie ni mwalimu mwenye nidhamu kubwa sana,pia ni babu mwenye adabuWewe hujawahi kumpatia fimboyaukwaju ?
dawa ni kutoa ushungi tu ili ifahamike ana chogo ama la 🐒Niliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania,nilikuwa na mwanafunzi mmoja,ni mpole,mkimya,hana makuu,hanywi pombe,haendi out,ni mtulivu sijapata kuona.Ni mkristo lakini huvaa,ushungi kila siku na darasani alikuwa wastani tu.Akamaliza na alipata kazi mji huohuo aliposomea,baada ya miaka 2 nilienda kumtembelea,alipopanga,nilimkuta na sifa zake zilezile,niliongea nae sana na akaniambia kuwa mpaka sasa hajapata mchumba japo anatafuta sana mwenza na anasali kila siku.Nilishangaa mdada mzuri kama huyo kukosa mume,kweli hata mie roho inaniuma sana
nimekusikiadawa ni kutoa ushungi tu ili ifahamike ana chogo ama la 🐒
UmeniwahiTangazo limekaa kisomi sana
Huyo ni mkatoliki na ni muumini mwaminifu ni wale ambao wanavaa rozari hivyo waislamu hawawezi kudhani ni mwislamu kwani rozari inaonekana waziwaziUshungi umekimbiza wachumba
Ukute Waislam walidhani ni mwenzao kuuliza kumbe sio na hana mpango wakubadili dini
Wakristo wanadhan muislam wanampitia mbali hawataki harakati za kubadilishana dini
Nimewekee namba yaķe mm naswali kwa mwamposWeka namba yake hapa km hujahudhulia kwenye harusi yake kesho kutwa, chura yupo?
na usijifungie ndani sasa, toka nje ili ukutane na anaekutafuta kwa muda mrefu, sawa my friend?🐒nimekusikia
Well described, Mi ni mkarimu, ila kihulka ni mkali na mkorofi!Upole si sababu ya Mtu kuwa Binadamu, kinyume chake ni sawa na Mtu aliyezaliwa na ukarimu ila kihulka ni Mkali au Mkorofi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
unajua,in a way yes ni tangazo,ila najaribu kuonesha kuwa ndoa kwa sasa ni ngumu mno,hata kwa wadada wenye sifa nyingi nzuri,ila mimi sipo hapa kumuunganisha na mtu ndio maana,mtu akiomba namba ni mpaka huyo dada anipe ruhusaUmeniwahi
sio mimi,mimi ni babuna usijifungie ndani sasa, toka nje ili ukutane na anaekutafuta kwa muda mrefu, sawa my friend?🐒