Wewe kumtembelea tu ghetto inamuondolea credit za kuolewa, kwanza wewe ni mwl wake, alafu ukute unapenda kuanzisha urafiki na wanafunzi wa kike,hata kama huwagusi, Sasa vaa uhusika,jifanye wewe ni mwanafunzi wa kiume ambaye ndiye alitakiwa awe mchumba Sasa, akikuona uko karibu na chombo, kichwani watawaza Nini!? Just as "demu mkalii ,mpole kumbe ni chombo ya teacher!! Teacher mwenyewe kiwembe,Niliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania,nilikuwa na mwanafunzi mmoja,ni mpole,mkimya,hana makuu,hanywi pombe,haendi out,ni mtulivu sijapata kuona.Ni mkristo lakini huvaa,ushungi kila siku na darasani alikuwa wastani tu.Akamaliza na alipata kazi mji huohuo aliposomea,baada ya miaka 2 nilienda kumtembelea,alipopanga,nilimkuta na sifa zake zilezile,niliongea nae sana na akaniambia kuwa mpaka sasa hajapata mchumba japo anatafuta sana mwenza na anasali kila siku.Nilishangaa mdada mzuri kama huyo kukosa mume,kweli hata mie roho inaniuma sana
Kweli mkuu. Ukorofi ni matokeo ya kukosa amani moyoni hivyo kila binadamu ni mkorofi inategemea umemkuta wakati gani ila utu/ukarimu ni sifa anayozaliwa nayo ama kujifunza kupitia mapito yake, hivyo mwenye utu anaweza kuwa mkorofi pia.Upole si sababu ya Mtu kuwa Binadamu, kinyume chake ni sawa na Mtu aliyezaliwa na ukarimu ila kihulka ni Mkali au Mkorofi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
sawa babu mkufunzi wa tuition,
mueleze mjukuu asijifungie chumbani tu, atoke nje ili hatimae akutane na mwenza wake anaemtafuta kwa muda mrefu sasa 🐒
akitoka nyumbani tu pwwwiiiffuuu ofisini ndani. Akitoka ofisini pwwwiiiffuuu break ni ndani chumbani kwake, kwa style hiyo atapata wapi wakumchumbia na ikiwa tena kanisani haendi, msikitini haendi, kwenye seminar, warsha na makongamano ya vijana wenzie haendi n.k🐒Sasa anajifungiaje ndani na anafanya kazi!!.🤔 Au kazi anafanyia nyumbani. Mara nyingi watu wapole hawanaga bahati, sijui kwanini🤔🤔🤔
Kutoka wap au ni wew mjinga wew🤣🤣nichekeKeshapata mume
Akasema jehii nilimwambia
Mimi mume Bora kabisaaKutoka wap au ni wew mjinga wew🤣🤣nicheke
Mume bora hajisemiMimi mume Bora kabisaa
Baada ya miaka miwili, nilienda kumtembelea alipopanga..
.
Of course that is up to youI'm reading between the lines.
Regards
Mwambie kwamba tatizo lake la upweke umelipatia ufumbuzi, asuruhusu namba yake iwekwe humu. Kwa mimi mzee niliye kwenye ndoa naamini vijana bachelors wako wengi humu na ataolewa tu.Bila ya ruhusa yake siwezi kuweka namba
Mwambie kwamba tatizo lake la upweke umelipatia ufumbuzi, asuruhusu namba yake iwekwe humu. Kwa mimi mzee niliye kwenye ndoa naamini vijana bachelors wako wengi humu na ataolewa tu
Mbona wapo wengi na hao kupata wachumba shida sanaNiliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mwanafunzi mmoja—mpole, mkimya, hana makuu, hanywi pombe, haendi out, ni mtulivu sijapata kuona.
Ni Mkristo, lakini huvaa ushungi kila siku, na darasani alikuwa wastani tu. Alimaliza na alipata kazi mji huohuo aliposomea. Baada ya miaka miwili, nilienda kumtembelea alipopanga. Nilimkuta na sifa zake zilezile.
Niliongea naye sana, na akaniambia kuwa mpaka sasa hajapata mchumba japo anatafuta sana mwenza na anasali kila siku. Nilishangaa, mdada mzuri kama huyo kukosa mume. Kweli, hata mimi roho inaniuma sana.
Hapana wa nchi kavuwale chura wanaokaa kwenye maji?
Kumbe ni sister hawaolewagi haoHuyo ni mkatoliki na ni muumini mwaminifu ni wale ambao wanavaa rozari hivyo waislamu hawawezi kudhani ni mwislamu kwani rozari inaonekana waziwazi
Ana umri gani?nimekusikia