Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Muonekano wa nje ndo ulivyomuona ila ndani najua sio bikra, wahuni wameishapita na kuona kuoa hapana. Hao wenye haiba hiyo acha kabisa wana mambo yao usiyoweza kutarajia.
Au vinginevyo ana misimamo ya mlengo wa kushoto wanaume wanamzoom tu kuoa hamna hapo
Au vinginevyo ana misimamo ya mlengo wa kushoto wanaume wanamzoom tu kuoa hamna hapo